Girl Friend wa Rafiki Yangu Ni Mchina.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Girl Friend wa Rafiki Yangu Ni Mchina..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Feb 11, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,106
  Likes Received: 37,524
  Trophy Points: 280
  Jamaa yangu Mwinsheikh Mwinyihaji Omary amepata msichana wa Kichina anayemiliki duka la kuuza maua kariakoo.
  Mchina wa Mwinsheikh hajui kabisa Kiingerza ila Kiswahili anajitahidi kidogo.
  Kila siku wakitoka kwenye duka lao la maua wanaenda kwenye migahawa ya Kichina, huko huyo binti hujumuika na Wachina wenzake, wanaongea kichina mwazo mpaka mwisho huku wakimuacha jamaa yangu anatumbua macho kama amenusurika kupigwa na bomu la mbagala.
  Jana jamaa akawa amaechoshwa na tabia hiyo sugu ya msichana wake, akamwambia demu wake kuwa anataka kumpeleka kwenye migahawa ya Kitanzania.
  Tukakutana pale Kijiji cha Makumbusho, tukawa tunapiga zetu story. Binti wa Kichina akaona maji yamezidi unga akamwambia bwana ke "turudi kwa wachina wenzangu na mimi nikaongee"
  Jamaa akamwambia ulivyojisikia wewe ndivyo ninavyojisikia mimi tukiwa na wachina wenzako"
  Wito wangu kwenu wana mapenzi:-
  Mwenzio akikukwaza mweleze, wala usiweke moyoni wala usipange kumrudishia kisasi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,944
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha......
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,946
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Duh! Poa kaka, hope umeeleweka..
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  haya bana mwambie awe makini wachina wako kija zaidi
   
 5. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watafute translator
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Mmh kazi ipo mwambie ajifunze na karate kabsaaaaaaaa,ila ka kwetu ni wazuri zaidi unatakiwa tupende vyetu kwanzA,CHINES PRODUCT ZA NN?KWANZA FEKI
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahahahahaahhahahah jamaaaaaa wa BujiBuji kaaaaaamuuaaaaaa kuangalia je na maloveeeeeee wachinaaaaaaa wanayoooooooooooo fekiiiiiii kama bidhaaaaaaaa zao zilivyo fekiiiiiiiiiiiiiii? Ngoja akakute anauza majiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! hahahahaha
   
 8. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inaonekana wewe na jamaa yako wote hamuwajui madem wa kichina. Kama kweli kuna suala la mapenzi mchina atakupelekesha mpaka umbebee pochi lake,umbebe na yeye mkiwa mnatembea etc. waulize wanaowajua watakwambia. Afterall kama hujui kichina kabisa kumpata mchina sahau!!! ni hao, ni hao kwa sana mpaka kieleweke. hahahaha
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mshauri rafiki yako hao jamaa ni feki kila kitu
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,106
  Likes Received: 37,524
  Trophy Points: 280
  hiyo iliyocharangwa kwa wino mwekundu imeniacha hoi bin taaban.
   
 11. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaha habari ndio hiyo kaka!
   
 12. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwenye bold hapo mkuu utakua umetia chumvi mno aisee!
   
 13. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  imenikumbusha stori za zamani za mama na mwana, jamaa lioa mwanamke kumbe yule mwanamke alikuwa jini, akamwambia nibebe jamaa akambeba mkewe (ambaye ni jini) basi yule mwanamke akawa anamchoma yule mumuwe (mbebaji) mbavuni.. Hadi damu zikawa zinatiririka lakini jamaa akawa anaendelea kumbeba.
  Huenda naye mwenzetu alishawahi kuwa na mamsapu wa kichina, akawa anambeba usiku na mchana.
   
 14. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama anaongea out of experience sasa hapo sina comment.
   
 15. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ki ukweli is not a joke,kubebana ni sehemu ya mapenzi ya kichina hasa penzi likiwa changa.Ingawa mara nyingi ni wanaume wanaobeba mademu zao lakini wakati mwingine mamsapu anakubeba.kubebana huku si kwa kutoka mbagala mpaka mwenge,just a short distance kuonesha unajali.Tatizo lingine la mabinti wa kichina,wanadeka haoo sijui ni kwa sababu wengi wao ulelewa na mabibi na mababu zao.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,106
  Likes Received: 37,524
  Trophy Points: 280

  wazazi wao kwanini wanawapeleka watoto kulelewa na bibi na babu zao?
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  hahahaha inachekesha ..ngoma bila bila
   
 18. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kingine kinachochangia ni size ya miili yao. Unafikiri dada zetu hawa jinsi wanavyofungasha utambeba utaweza?? Mbona huku bongo wanaume wa kichina wanachukua dada zetu lakini hatujaona wakiwabeba? Jamaa mwenyewe ana 52Kg, dada wa kibongo ana 82kg.atamuweza?
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,106
  Likes Received: 37,524
  Trophy Points: 280

  kwani wanatafuta wasichana kwenye mageti makali?
  Si huwa wanawakuta baa, sehemu za starehe, kwenye shopping malls, na sehemu za kazi?
  Hivyo basi wanaamini kuwa dada zetu wamewashobokea kwa kuwa wao ni wageni na pia wana pesa, hivyo basi wazami dimbwini kiukweliukweli maana wachina wote wanajua kuwa mademu wabongo ni wezi ile mbaya.
   
 20. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I can agree with that,unajua ubunifu wa mwanadamu siku zote uendana na mazingira pia.But they seem to enjoy that hasa mabinti.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...