Girl friend imepitwa na wakati

Girl friend imepitwa na wakati

Watu wakikosa sifa za kukubaliwa na wanawake wanakuja na tafiti mbali mbali za kutisha ili kukabili hali yao ya upweke,hii ni ishara moja wapo kwamba mdogo wangu unasumbuliwa na upweke wa hali ya juu sana.

Huu utafiti wako umeufanya ukiwa na msongo mkubwa wa mawazo baada ya kukataliwa na mpenzi wako au kukataliwa na wanawake kwa ujumla.

Umesema 40% zilikufa chini ya miaka 3,alafu 80% zilidumu ndani ya miak 3,maana yake zilikufa ndani ya miaka hiyo 3,sasa hizo za 80% zina tofauti gani na 40%?

Kweli upweke mbaya,usiwe na girl friend ili upige punyeto,sio? Hii inaitwa schizoid personality disorders,tafta mpenzi wa kike akufanyie therapy dogo uachane na msongo wa mawazo

Hapo ameeleweka ni upangaji wa maneno tu,ambapo hata wewe ungeweza kusahihisha,amemaanisha kwamba "sailings 80 ziliendelea kudumu baada ya miaka notary"
 
Watu wakikosa sifa za kukubaliwa na wanawake wanakuja na tafiti mbali mbali za kutisha ili kukabili hali yao ya upweke,hii ni ishara moja wapo kwamba mdogo wangu unasumbuliwa na upweke wa hali ya juu sana.

Huu utafiti wako umeufanya ukiwa na msongo mkubwa wa mawazo baada ya kukataliwa na mpenzi wako au kukataliwa na wanawake kwa ujumla.

Umesema 40% zilikufa chini ya miaka 3,alafu 80% zilidumu ndani ya miak 3,maana yake zilikufa ndani ya miaka hiyo 3,sasa hizo za 80% zina tofauti gani na 40%?

Kweli upweke mbaya,usiwe na girl friend ili upige punyeto,sio? Hii inaitwa schizoid personality disorders,tafta mpenzi wa kike akufanyie therapy dogo uachane na msongo wa mawazo

Mi najua huyo mafiti kapagawa maana lama ingekuwa ni kweli mashoga wote wangekuwa milionea maana hawagaramikii girlfriend mi sikubaliani na hoja za mtoa mada na zaidi ya hapo nasema ukipenda garamia akiwa na mchepuko sepa tafta kingine anza upia alah!!
 
Au unazungumzia 'woman-friend' na hasa widow-friends maana vijana wamebuni mbinu mpya ya kujikimu wanachepuka na wake za watu, au wajane ambao wamekuwa source of income kwao. Kubali usikubali huo ndio ukweli.

Naongelea hawa hawa pure single ladies
 
Back
Top Bottom