ginwe

Status
Not open for further replies.

ginwe

New Member
Aug 16, 2012
3
0
Hello wanajamiiforum mi mzima wa afya.Je Vp kuhusu tcu?majina ya waliokosa mbona siyaoni?nijuzeni kwa hili.
 
Hello wanajamiiforum mi mzima wa afya.Je Vp kuhusu tcu?majina ya waliokosa mbona siyaoni?nijuzeni kwa hili.

Kama umeshindwa kuona maandishi kama yale na yana lebo kabisa na zile rangi za kung'aa nyekundu na njano. Sijui kama uko makini.
 
hawa ni wale wale tu a.k.a products za ze dudu!! sasa mambo ya tcu anauliza JF akati tcu wana web yao!!! ku***vu aghghghghghgh.....
 
Yaani hadi inaboa humu jukwaani kumejaa tcu tcu tcu tcu utafikiri kunawakala wa tcu humu,basi kiwe cha maana yaleyale kila siku hayana mbele wala nyuma ni ukosefu tu wa uvumilivu.
 
hili ni jukwaa la elimu,, mtu anaweza kuuliza chochote kuhusu elimu. Cyo m2 anauliza mnamjibu kuwa tcu wana website yao cyo huku, basi mngeainisha vi2 ambavyo m2 anaweza kuuliza kuhusu elimu! Au mtoe kabisa jukwaa la elimu lisiwepo?
 
Wewe mnoel na wenzio mliposikia jamiiforums kuna matokeo ya Udsm sasa mmegeuka wasumbufu. Uyo mwenzio hajaona hayo majina humu? Mbona kuna mdau aliyaweka tena jana. Tatizo hamsomi thread zilizopita mnaishia kulalama tu.

Hili jukwaa halikuzoea thread uchwala kama ya huyo shost wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom