Jaribu kumtag Mhe. Waziri. Kuhusu kuharibu maadili ya wanawake, maadili yashaharibiwa kitambo sana kupitia Bongofleva, yeye ni product tu.Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili....
umeacha kujadili mada tena unamjadili mleta mada?Jaribu kumtag Mhe. Waziri. Kuhusu kuharibu maadili ya wanawake, maadili yashaharibiwa kitambo sana kupitia Bongofleva, yeye ni product tu.
Wewe umeumia sana, ila je wewe pia ni Mtakatifu?
Atakuwa anaumia anajikaza kama hajali but deep down atakuwa anaumiaKwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili....
Yeye anauza kwa sababu zake binafsi na inawezekana kabisa anatafuta tu kiki kama ilivyo kawaida kwa wasanii wa bongo, ila nikuulize: wewe hujawahi nufaika na hao wanaoiuza kwa Siri? Kama ni ndio kwanini umhukumu mtu ikiwa wewe una dhambi za kutosha.umeacha kujadili mada tena unamjadili mleta mada?
vipi kwani unanufaika na huyo gigy kuuza papa?
Dkt. Gwajima DJaribu kumtag Mhe. Waziri. Kuhusu kuharibu maadili ya wanawake, maadili yashaharibiwa kitambo sana kupitia Bongofleva, yeye ni product tu.
Wewe umeumia sana, ila je wewe pia ni Mtakatifu?
Na upande wa wanaume ni Q chillah na kaka yake Benzino CheedNa mimi niliwaza kama hivyo. Huyu binti anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia.
Amefanikiwa kupata jina kubwa mno kuliko mafanikio aliyokuwa nayo na hili ndilo hasa linalomuumiza...
Huyo Gigy ni mtu mzima.Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili....
ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..Yeye anauza kwa sababu zake binafsi na inawezekana kabisa anatafuta tu kiki kama ilivyo kawaida kwa wasanii wa bongo, ila nikuulize: wewe hujawahi nufaika na hao wanaoiuza kwa Siri? Kama ni ndio kwanini umhukumu mtu ikiwa wewe una dhambi za kutosha.
Serikali hii haiwezi rekebisha maadili kwasababu imewapa uhuru wasanii ila isipitilize, jukumu la kuwalinda watoto wa kike ni jukumu la wazazi wala sio Serikali.
Sawa mkuu. Basi tumtag Mhe. Waziri ili achukue hatua.ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
imagine mama yako anaona halafu anavutiwa halafu anaanza kufanya Porn... utafanyaje? utatetea pia?Sawa mkuu. Basi tumtag Mhe. Waziri ili achukue hatua.
Yeah…that’s a very real possibility that they are projecting.Hizo Video ziko wapi? Au nyinyi ndio mna depression?