Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mkuu don't try to underestimate him.. He is a classic guy, I know him in personal.. Tatizo lake pekee ni kuutaka ustar kwa nguvu na kuwaona mastar kama miungu watu hivi..
Hilo 'tatizo lake pekee' ulilolitaja tayari linamuondolea hiyo class unayompa.
 
Ohooo not to all woman alafu his kwamba wanawake wengine never look how wealth u are eg zari n ivan
 
Leo ni siku ya kilele cha Mahakama Tanzania, jumuhiya, wadau wa tasnia ya Sheria nchini waadhimisha week ya mahakama.

Mwanasheria au wakili (msomi) Albert Msando kaharibu kama si kujishushia hadhi na kuwadhalilisha mawakili wenzake na jamii kwa ujumla.

Acha sinema hii ijieleze hapa 👇 ...

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo unaemsifia na ndoa ya maana unajua ndoa yenyewe ilishavunjika na mvunjaji ni huyo huyo anaeongelewa hapa?
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Sifa ya mtu alie ktk ndoa lazima ajiheshimu Msando kama kafanya hayo awezi kua baba bora!Alafu mwanamke mwenyewe amfikii mkewe kwa uzuri GIGY sio mwadamu ni jini mtaka damu
 
AISEE NIMEPENDA SANA HAKO KA SAUNDI TRAKI
 
...Dah!... kudadadeki!! 🤫🤫🤫
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…