Uliza kwa taifa lako ama kwa giggyhivi tatoo ya ya gigy money ina maslai yoyote kwa taifa letu
Kwanini?Sidhani kama huyo Giggy anadhalilika..
unahisi kila kinachojadiliwa humu kina maslahi kwa taifa?hivi tatoo ya ya gigy money ina maslai yoyote kwa taifa letu
Yani ana sifa sana huyu dada. . huwa anajifanya don't care sanaDah nimecheki hiyo video kweli huyo binti shetani kamtoa aibu kabisa.
Haaha itakuwaIli mtu akiwa anamruka ukuta iongeze bashasha au?
Ile dhambi ilivyombaya unadhani huwa mtumiaji ana muda hata wa kuangalia mazingira kama yanapendeza au laa?Haaha itakuwa
Anapendezesha mazingira
tuanzie kwako kwa coz hata we we ni a part of nationUliza kwa taifa lako ama kwa giggy
Anzia kwao kwanzatuanzie kwako kwa coz hata we we ni a part of nation
tuanze na mleta mada aliye taka tujadili ta tuone hiyo tattooAnzia kwao kwanza
mleta mada aliye taka tujadili