maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,536
- 1,360
Hakuna habari zinaumiza Oya Oya FC Kama hizi ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League.
-Ubora wa vilabu kwa sasa Simba ipo nafasi ya 14 kama ifuatavyo (Al Ahly (01) ya Misri, Wydad (02) ya Morocco, Esperance (03) ya Tunisia, Raja (04) ya Morocco, RS Berkane (05) ya Morocco, Mamelodi (06) ya Afrika Kusini, Mazembe (07) ya DRC, Zamelek (08) ya Misri, Pyramids (09) ya Misri, Etoile (10) ya Tunisia, Orando (11) ya Afrika kusini, Horoya (12) ya Guinea, Petro de Luanda (13) ya Angola) na Simba SC (14) ya Tanzania
-Kwa Misri inatakiwa vilabu 2 kati ya vitatu (Al Ahly, Zamalek, Pyramids) kushiriki CAF Champion League, Morocco timu ya Berkane ameshindwa kufuzu kucheza CAF Champion League, Orlando naye hajafuzu kucheza Caf Champion League, Tunisia, Etoile Sahel hawezi kuzifikia pointi za Monastri ambayo ilimfunga jana kwa magoli 2-0. Hivyo timu 14 - 4 =10 ndio Simba imefaidika kuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza.
-Kwa mujibu wa kalenda ya CAF ratiba inaonesha raundi ya awali ya mashindano ya CAF (Caf Champion League na Caf Confederation Cup) yataanza August 12-14 kwa michezo ya mkondo wa kwanza na August 19-21 michezo ya mkondo wa pili. Wakati raundi ya kwanza imepangwa kuanza September 9-11 kwa michezo ya mkondo wa kwanza na September 16-18 michezo ya mkondo wa pili.
Ktk kupoza mioyo Msukule akawaambia nao wataanzia first roundHakuna habari zinaumiza Oya Oya FC Kama hizi ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Last bornCAF inawabeba Simba haiwezekani tubebe makombe yote afu tuwe excluded kwenye champion league
Simba SC waamke, kwa huu mwenendo wao siku sio nyingi watashuka zaidi.
Tutapeleka . Hakuna namna . CAF hawawezi kuipendelea simba kiasi hiki sisi tupo tunaona.Pelekeni malalamiko CAS
Wewe mbona uliwaponza mbumbumbu kwa kuweka documents feki kuhusu usajili wa Ki Aziz?Ktk kupoza mioyo Msukule akawaambia nao wataanzia first round
Nyati .mweupeUtaambiwa zeruzeru ni tusi muite albino sasa sijui kiswahili cha mtu mwenye ulemavu wa ngozi ni kipi
wewe na msukule wenzio hujui kama offer sio public document?Wewe mbona uliwaponza mbumbumbu kwa kuweka documents feki kuhusu usajili wa Ki Aziz?
wewe mzima kweli?
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League.
-Ubora wa vilabu kwa sasa Simba ipo nafasi ya 14 kama ifuatavyo (Al Ahly (01) ya Misri, Wydad (02) ya Morocco, Esperance (03) ya Tunisia, Raja (04) ya Morocco, RS Berkane (05) ya Morocco, Mamelodi (06) ya Afrika Kusini, Mazembe (07) ya DRC, Zamelek (08) ya Misri, Pyramids (09) ya Misri, Etoile (10) ya Tunisia, Orando (11) ya Afrika kusini, Horoya (12) ya Guinea, Petro de Luanda (13) ya Angola) na Simba SC (14) ya Tanzania
-Kwa Misri inatakiwa vilabu 2 kati ya vitatu (Al Ahly, Zamalek, Pyramids) kushiriki CAF Champion League, Morocco timu ya Berkane ameshindwa kufuzu kucheza CAF Champion League, Orlando naye hajafuzu kucheza Caf Champion League, Tunisia, Etoile Sahel hawezi kuzifikia pointi za Monastri ambayo ilimfunga jana kwa magoli 2-0. Hivyo timu 14 - 4 =10 ndio Simba imefaidika kuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza.
-Kwa mujibu wa kalenda ya CAF ratiba inaonesha raundi ya awali ya mashindano ya CAF (Caf Champion League na Caf Confederation Cup) yataanza August 12-14 kwa michezo ya mkondo wa kwanza na August 19-21 michezo ya mkondo wa pili. Wakati raundi ya kwanza imepangwa kuanza September 9-11 kwa michezo ya mkondo wa kwanza na September 16-18 michezo ya mkondo wa pili.
Angeshiriki yeye na mshindi wa kwanza, mshindi wa pili angepoteza nafasi hiyo, japo anaweza shiriki Confederation. Kiufupi bingwa wa champions league anapewa nafasi ya moja kwa moja kutetea ubingwa wake. Vile vile bingwa wa Confederation anapewa nafasi ya kutetea ubingwa wake, hatahivyo kama bingwa wa confederation nchini mwake amepata ubingwa ligi basi anapewa nafasi ya kuchagua ashiriki kombe lipi kati champions na confederation.asingeshiriki,ni kama ilivyo hao wengine wapo juu lakini hawashiriki.
We tokea 98 uliivuka hatua hiyo?Ata msimu uliopita Simba alitolewa raundi iyoiyo ya kwanza kwenye ligi ya Mabingwa maana mbumbumbu fc awacheliwi kujisahaulisha.
Hakika uliona mbali sana, sasa Simba inaenda kuzidiwa katika vipengele vyote walivyokuwa wanatamba navyo.Yanga wataanzia hatua gani?
Msimo ujao Simba inabidi wajipange haswaa, maana wapinzani wao wanapanda wao wanashuka.
Hakika.Hakika uliona mbali sana, sasa Simba inaenda kuzidiwa katika vipengele vyote walivyokuwa wanatamba navyo.