Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,320
- 54,862
Hiyo haina nguvu sana. Noma ni pale umekaa na mtu kwa miaka minne halafu ana kughost
Mmmh hivi kumbe humu watu mnatafuta wapenzi mnajuana loh, sasa kwa nini umpotezee wakati wewe ndio ulimwendea pm( mtongozo) au yeye ndo anakuwa alikufata pm? Inakuwa vip yaan??
Bora umwambie sikupendi kuliko kimwacha kimya kimyaDada hapo huwa nabaki na maswali mengi sana. Mwambie mtu kuwa sikupend. Au hujanivutia. Yann unampotezea mtu for no reason? Hiyo ni kitu mbaya sana
Mmmh hivi kumbe humu watu mnatafuta wapenzi mnajuana loh, sasa kwa nini umpotezee wakati wewe ndio ulimwendea pm( mtongozo) au yeye ndo anakuwa alikufata pm? Inakuwa vip yaan??
To be honest anakua hajakufeel kiivo ama hahitaji mtu mda huo ama ana mwanaume mwingine on the lineAnd hapo ukisema let take it slow. Inamaana mawasiliano mnapunguza kabisa yaani. Hujib call wala text zake.
What does it mean mwanamke akikufanyia hivyo?
Kwa kifupi ww hujam ghost ila umekubal hali ya kuwa mnyonge tu na natumain akikchek ni lazima tu uta respondMi alinighost nami nikamghost dadeki, siku nikamkumbuka akajib nikamwambia nimekumis akajib nitumie bas kiasi kadhaa dk mbili nikamtumia akasema asante nikajib okey alafu nikaendeleza ghosting nishazoea mwanzo alinipa wakati mgumu ila nilivyo amua kumbe ni simple tu
Ghosting is an act of ending a personal relationship with a lover or partner without any apparent warning or prior notice.
It is normally characterised with stopping all kind of communication with an intended person. This may include changing ur numbers or never respond to his or her calls. However it does not include blocking that person from ur communications.
The idea is just to leave a person without telling them that u have left them and without giving them the reason as to why u have left them.
Ghosting ni kitendo cha kumuacha mpenzi bila kumtaarifu kuwa umemuacha. U don't need to tell him/her kwanini umemuacha kwa sababu lengo lako ni kumuacha bila yeye kujua kwamba umemuacha.
Mara nyingi tendo hili huwa linaambatana na vitendo kama kutokupokea simu ya mhusika, kutokujibu meseji zake Kwenye simu na mitandao ya kijamii pamoja na kubadilisha namba za simu.
Haishauriwi kumblock either Kwenye simu au social media kwa sababu ukimblock anaweza kung'amua mapema kwamba tayari umemuacha ilihali lengo lako wewe ni kumuacha bila yeye kujua kama umemuacha wala kumpa sababu kwanini umemuacha.
Wataalamu wa Saikolojia wanasema ghosting is the most cruel thing to do to ur lover. Ni jambo linalo mtweza sana mtu na kumpa jakamoyo la kutisha.
Tatizo haswa huwa linakuwa sio kuachwa but staili iliyo tumika kuachwa.
Watu wengi wanaokuwa ghosted huwa wanaishi na trauma ya kuwa ghosted kwa muda mrefu sana. Pia huwachukua muda mrefu sana kuingia katika mahusiano mapya.
Tafiti zinaonyesha pia mauaji mengi yasababishwayo na wivu katika mapenzi huwa yanatokea baada ya wapenzi kuachana. Kati ya hayo, idadi kubwa ni yale ambayo mtu kamuacha mpenzi wake kwa njia ya ghosting.
Fikiria upo na mpenzi wako wa muda mrefu. Uhusiano wenu umefikia katika uchumba kisha ghafla ana ku ghost only for you to learn after sometimes that they are getting married to another persons. Ni jambo ambalo watu wengi hawana uwezo wa kuli handle.
Ghosting is not limited only to lovers . A person can ghost his friends ( normally bad friends) or even a family.
Have u ever been ghosted? Have u ghosted a person ? Tell us ur experience.
Mkuu detective naona ishu ya "out-dated" umeshikilia bango kwel yan..Haha inategemeana na mtu. Sometimes unashindwa kuelewa nn kimetokea. Maana mtu umeenda nae date halaf kapotea gafla.
Text hajib.. simu hapokei
Sasa kama alikuwa hakutaki.. hau hajakufeel si aseme tu. Yann kupotezeana for no reason.
Huyo wa kwako wa miaka minne atleast umeshamsoma. Umesha enjoy nae so unamfaham. Na unajua wapi pa kumpata.
YesKwa kifupi ww hujam ghost ila umekubal hali ya kuwa mnyonge tu na natumain akikchek ni lazima tu uta respond
Piga chin tu mkuu.
😀😀😀mm naogopaKwani humu hairuhusiwi kutafuta wapenzi au kujuana?
Mkuu detective naona ishu ya "out-dated" umeshikilia bango kwel yan..
Pole sana.ndio walivyo hawa wazoee tu .ahahahahahahabah
Jina lako linaanzia na BIle mazima kabisa not really
Used kujieleza kidogo like m not ready..we take it slow etc
Mazima ni kwa mtu ambae ashapewa chance afu akawa msumbufu
Hapana kwa nini umehisi hivyoJina lako linaanzia na B