STORY NDEFU MKUU NASHINDWA KUIFUPISHAPole sana Mkuu tupe experience ilikuaje?
Yeah sure ukireverse ataumia sana but tatizo ni pale anapo amua kuku ghost for good yani lengo lake sio kukuumiza. Wengine anakughost kwa sababu anajua akikwambia Kwanzaa hutokubali, utamsumbua au utaumia sana .Sasa yeye hataki kukuumiza ndo maana kakuacha kimya kimyaNi nzuri kumfanyia mtu..ni rahisi pia km ukitaka kurudi unaanza tu na salamu afu unajitetea ulitingwa na ubize na nini,maisha nk
Na mbaya sana kufanyiwa hasa km unamjali huyo mtu...
Ni mbaya zaidi pale yule aliyem'ghost mwenzake yakibuma huko alikokua na akarudi akijua the coast is clear kumbee aliekua ghosted kashamove on pia
Dawa ya ghosting:ukibaini mtu kala kobis na wewe unganisha...reverse psychology itamtesa yeye na si wewe kwa kua alitegemea u'react juu ya ukimya wake
Life is a game ..learn the tricks and play ur cards wisely
Binadamu tuna mioyoYeah sure ukireverse ataumia sana but tatizo ni pale anapo amua kuku ghost for good yani lengo lake sio kukuumiza. Wengine anakughost kwa sababu anajua akikwambia Kwanzaa hutokubali, utamsumbua au utaumia sana .Sasa yeye hataki kukuumiza ndo maana kakuacha kimya kimya
Ni nzuri kumfanyia mtu..ni rahisi pia km ukitaka kurudi unaanza tu na salamu afu unajitetea ulitingwa na ubize na nini,maisha nk
Na mbaya sana kufanyiwa hasa km unamjali huyo mtu...
Ni mbaya zaidi pale yule aliyem'ghost mwenzake yakibuma huko alikokua na akarudi akijua the coast is clear kumbee aliekua ghosted kashamove on pia
Dawa ya ghosting:ukibaini mtu kala kobis na wewe unganisha...reverse psychology itamtesa yeye na si wewe kwa kua alitegemea u'react juu ya ukimya wake
Life is a game ..learn the tricks and play ur cards wisely
Lady red ulishawahi kumpotezea mtu ambae amekutoa out? Yaan yule ambae mkaka ambae hana amekutoa out for date. The after date ukampotezeaI ghost watu ambao tuliachana nimeshamove on wanarudi na salamu like nothing happened
I ghost mtu ambae simfeel tu js damu haziendani ht km hatujakosana nikiona sina story basi kimyaaa
Ni kimyaa tuu hadi salamu na simu zao zikate automatically
Tusije peana murdercase buree esp ma ex
Ile mazima kabisa not reallyLady red ulishawahi kumpotezea mtu ambae amekutoa out? Yaan yule ambae mkaka ambae hana amekutoa out for date. The after date ukampotezea
Hiyo haina nguvu sana. Noma ni pale umekaa na mtu kwa miaka minne halafu ana kughostLadyred hii kitu huwa wanafanya zaid wadada. Mara nyingi imenitokea after first date.
Unamchukua dada unampeleka date ya nguvu anafurahia ..ana enjoy. Then next day anakata mawasiliano na ww.
Unashindwa kuelewa nn kimetokea. No phone calls. Ukimtext hajib.. ukipiga simu hajibu.
Si kitu kizur kwakweli. Kama mtu hukumpenda. Mwambie kiutu uzima kuwa unashukuru for date lakin hujafeel upendo wowote kutoka kwake.
Hata kama mtu anaumia lakin atleast kuna relief flan ya yeye kujua kinachendelea.
Mmmh hivi kumbe humu watu mnatafuta wapenzi mnajuana loh, sasa kwa nini umpotezee wakati wewe ndio ulimwendea pm( mtongozo) au yeye ndo anakuwa alikufata pm? Inakuwa vip yaan??Hata humu wapo wengi tu nimewapotezea kwa roho safi kbs
Ile mazima kabisa not really
Used kujieleza kidogo like m not ready..we take it slow etc
Mazima ni kwa mtu ambae ashapewa chance afu akawa msumbufu