Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

Shekhe na wewe ulikuwa unakwea mnazi πŸ˜€πŸ˜ƒ
Haijawahi kuwa habit yangu yaani kufanya rasmi kuwa ndio mchezo wangu daily au weekly kiasi Cha kuwa nyetoh addicted man.

Ilitokewa wakati Fulani mara chache sidhani kama inafika mara 20 tokea nizaliwe kukwea mnazi , mpaka namalizia form 4 mwaka 2018 sijui nyetoh vijana wenzangu kwenye stori walikuwa wanazungumzia na kusema hakuna Mwanaume Duniani ambaye hajawahi hapo ndio nikawa curious kujaribu baada ya kujiuliza kwa nini wadhani hakuna Mwanaume ambaye hakwei na hajawahi kukwea wakati Mimi sina hata idea wanafanya vipi ?

Nilivyomaliza wakati wa kusubiri matokeo niende 4m6 nikastua nione inakuwaje ndio ikawa my first experience Kisha ikawa mara Moja Moja halafu nikaikataa kabisa .
 
First experience ilikuaje mkuu. Nasikiaga wazungu huwa wanatoka kwa kasi kubwa sana
 
Uzi mzuri sana Comrade, lakini ni Baadhi TU ya watu watakuelewa kwa kina ( Only strong Men). Hiki kipindi ni mhimu sana ku unlock self Conscious, kujielewa vizuri wewe binafsi bila kelele za jamii, Validation n.k. na unaweza kukua vizuri spiritual.
Na hii ni Moja ya Art( The Art of surving alone) na SI kila mtu anaweza, Ukiwa weak unaweza jikuta kwenye kujitenga kwa kutoelewa Misingi vyema unapata depression, Anxiety au ukaishia ku watch porno na kujichua uko
 
Na hapo ndio mwanzo wa hekima sasa
 
Watu wana jealous, I believe kama ipo ipo tu. Ndo maana tunaambiwa tusiendekeze ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…