VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,494
- 13,333
Hapo kwenye [comebacks] ndio wengi wanapoteana...That phase sets up biggest comebacks and lasting success.
Hapo kwenye [comebacks] ndio wengi wanapoteana...That phase sets up biggest comebacks and lasting success.
Huyu kwa hayo madini sidhani kama bado anatafuta ajira😁.Kwa maisha ya sasa yalivyo race ukiapply ghost phase kwa demu wako ukirudi usishangae kuitwa shemeji na hakuna anayejali 😹😹😹
Tuliza mbupu tu utafute ajira shogaangu..!! 🤣😹
Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume.
Kama bado huu kijana unaepambana kutengeneza maisha yako especially kama upo 20's mpaka early 30's. Basi unahitaji kuapply ghost mode.
Zifuatazo ni dondoo muhimu za ghost mode.
1.Kubaliana na ukimya.
Siku za kwanza za ghost mode zitakua ngumu kidogo. Hakuna anaekutext, kupigia wala kukujulia hali. Hata kwenye group whatsapp hakuna charts. Waliokua wanacheka memes zako wote kimya, hapa ndipo unagundua ulikua burudani tu kwa watu wakiwa bored. Ukimya unaweza kukuumiza lakini ni dawa itakayokunyesha wewe ni nani wakati hakuna anaekuangalia.
2.Tengeza mkakati wa kivita.
Haupo hapo ghost mode ili ushinde unacheza play station au unaangalia movie tu geto. Unaingia ghost mode kujitengeneza upya, kwaiyo unahitaji mkakati.
-una vision gani
-una mission gani
-mambo gani uyaache
-mambo gani uanze kuyafanyia kazi n.k
Tengeneza mkakati wako kama mkuu wa majeshi anaejiandaa na vita
3.Fitness ya mwili wako iwe kipaumbele.
Kimbia, kama uwezo unaruhusu nenda gym, kama ball linapanda nenda ground kazungushe. Kunywa maji ya kutosha. Kuwa makini na uchokula, junk food na soda achana nazo. Pata muda wa kutosha kulala n.k
4.Achana na mahusiano.
Kubaliana na ukweli kwamba kwenye ghost phase wanawake ni liability. Block out the lust, mute the flirts. Stop chasing cheeks and start chasing your dreams. You're a man on mission, stop simping. Build up and when you return you won't chase. They will apply and not all will be approved.
5.Tengeneza ujuzi na pesa kimya kimya.
Jifunze coding, mauzo, elimu ya fedha, uwekezaji au kitu chochote kitakachokutengenezea hela. Tafuta hela na ufanye hivyo kimya bila kelele. No post, no flex. Just deposits.
6.Jifunze kila siku.
Chochote unachoamua kukifanya akikisha kila siku unajifunza kitu kipya. Sikiliza mijadala inatayokufanya ujione mjinga, hiyo ndio mijadala itakayokukomaza akili. Unplug yourself from tiktok and gossip. By the end of ghost mode no woman, no enemy, no situation will break your peace.
7.Achana na drama za kijinga.
No online beef, no arguing with boys, no gossip no cloud chasing. Drama is cheap, your vision is expensive.
COME BACK
Ex wako atawaambia watu ulikuaga boyfriend wake, haters watajifanya hawakuwai kutilia mashaka uwezo wako, marafiki wa zamani watakutext "kaka ulipotea". Don't explain, don't flex, don't post photos of your glow up. You owe no one approve.
Cut distractions and focusing on yourself. No drama, no noise just relentless work on your goals. That phase sets up biggest comebacks and lasting success.
Don’t be a simp.
Makazini na sehemu za biashara sio sehemu za kutengeneza marafiki na wafanyakazi/wafanyabiashara wenzako. Huko unapiga tu kazi unasepa.Umenikumbusha mbali sn miaka 8 nyuma nliwahi fungua biashara mkoa fulan na skuwa mwenyeji wa uko nlifungua banda ndani lina pool table, bonanza 2, play station, vinywaji, tv with azam king'amuzi, nikaweka na mzk mzto sn nlifunga mzk wa gari ukiwa full kbs, vjana wakawa hawakauki mle wenyeji nao wakafungua ila wao waliweka pool table tu tukawa jiran kumbe wakawa wanaumia mi ninavyopata hela wakawa wanapga majungu sn na fitna ili nspate ktu na nfunge biashara ili wao wafanye kama mimi, nlipogundua hlo nikafungua biashara sehem nyngn kmykmy uku nikiwa nao hapo maeneo yao nacheka nao story kwa sn, nlipokamilisha walishtukia tu nahamisha vitu yule jamaa wa mabonanza nae walikuwa kabila 1 akasema bonanza niziache ampe mkabila mwenzie nikaztema nikalala mbele nlifuta namba zao wote skuchagua, uku nyuma wakaanza majungu mengi sn na kutengeneza kashfa mi kimya nikikutana nao sisalimii mtu napta tu, ajabu wao tena wakaanza nisalimia na kujsema waliokuwa wananifanyia fitna sms za umepotea sn mi kmy. Napenda sn ukmya
Ni kweli mkuu. Kama wazazi wako wanakutegemea na familia yako inakuangalia utengeneze njia ya wanaokufuata wapite, kamwe usije ukajaribu kuishi maisha ya watu ambao wanategemea wazazi wao au wamekuta tayari washatengenezewa njiaSisi tulozaliwa familia za kimaskini kuna muda hua unafika hii hali inakujia automaticaly. Utake usitake utajikuta alone alaf kama dunia imekudondokea hivi.. Na kila ukijaribu kufurukuta basi utaskia watu wanakufariji kwa maneno ya kukukatisha tamaa huku wakikumbushia mabaya yako na mema ulotenda yakionekana yalikua hayana umuhimu. Kwamba hata usinge tenda wewe angetenda mwingine, na hata yasinge tendeka kabisa kulikua hakuna cha kuharibika.
Lakini ndo wakati sahihi wa kuinuka, well said mleta uzi..
njia ulizopitia wewe kufanikiwa ni tofauti na yangu, wewe 1 jumlisha 1 sawa na 2 lakini wengine tunafahamu kuwa ni 11Ukifundishwa 1+1=2, wala haujapangiwa jibu isipokua umeonyeshwa jibu sahihi. Ukiingia kwenye mtihani ukakutana na swali la 1+1, una uhuru wa kujaza 3
Hatari mkuu. Hiyo imenikuta niliporomoka kiuchumi alafu wale niliowasaidia kuwainua wakawa wako stable, huwezi amini japokua ni familia moja lakini nilisimangwa sana. Kama nilitoka huko nikachukua hela zote na miradi yote nikahonga kwa mara moja.Ni kweli mkuu. Kama wazazi wako wanakutegemea na familia yako inakuangalia utengeneze njia ya wanaokufuata wapite, kamwe usije ukajaribu kuishi maisha ya watu ambao wanategemea wazazi wao au wamekuta tayari washatengenezewa njia
Kuna watu motivation yao wanaipata kwa kujitenga, sio kujitenga kabisa ila kujitenga kutoka kwa wale anaofahamiana nao like mahusiano yake ya karibu, Ndugu, jamaa, marafiki, mpenzi, wazazi etc.Unaweza kufanya maendeleo bila kujitenga. Zingatia kuwa na kiasi kwenye mienendo yako. Binadamu ni viumbe wa kijamii hawawezi kuishi kwa kujitenga.
je,unaweza kutekeleza mwana aliyokupangia?Hii ndo JF
Sema mwana nampa kasema ukweli mtupu
Anatafuta bado hajapata, angepata asingepoteza muda kuiba mabandiko ya watu na kuleta JF.Huyu kwa hayo madini sidhani kama bado anatafuta ajira😁.
Ukisha kuwa mtu mzima muda wa kudeal na upumbavu hakikisha kuwa unaukosa , deal na mambo ambayo ni potential only na watu ambao ni potential, Ukibaini tu kwamba Kuna watu ni fake stay away from E'm haraka sanaUmenikumbusha mbali sn miaka 8 nyuma nliwahi fungua biashara mkoa fulan na skuwa mwenyeji wa uko nlifungua banda ndani lina pool table, bonanza 2, play station, vinywaji, tv with azam king'amuzi, nikaweka na mzk mzto sn nlifunga mzk wa gari ukiwa full kbs, vjana wakawa hawakauki mle wenyeji nao wakafungua ila wao waliweka pool table tu tukawa jiran kumbe wakawa wanaumia mi ninavyopata hela wakawa wanapga majungu sn na fitna ili nspate ktu na nfunge biashara ili wao wafanye kama mimi, nlipogundua hlo nikafungua biashara sehem nyngn kmykmy uku nikiwa nao hapo maeneo yao nacheka nao story kwa sn, nlipokamilisha walishtukia tu nahamisha vitu yule jamaa wa mabonanza nae walikuwa kabila 1 akasema bonanza niziache ampe mkabila mwenzie nikaztema nikalala mbele nlifuta namba zao wote skuchagua, uku nyuma wakaanza majungu mengi sn na kutengeneza kashfa mi kimya nikikutana nao sisalimii mtu napta tu, ajabu wao tena wakaanza nisalimia na kujsema waliokuwa wananifanyia fitna sms za umepotea sn mi kmy. Napenda sn ukmya
Sasa mfano umetokomea huko umerudi unakuta wale uliokuwa ukiwa-'ghost' hawakuhitaji tena. Itakuwaje?Kuna watu motivation yao wanaipata kwa kujitenga, sio kujitenga kabisa ila kujitenga kutoka kwa wale anaofahamiana nao like mahusiano yake ya karibu, Ndugu, jamaa, marafiki, mpenzi, wazazi etc.
Mfano: Kuna siku niliandika humu kuna mtu alikuwa ananipaga 30k-50k kwa siku kila siku kipindi tuna date. Mtu mwenyewe yuko humu, Haikuwa hivi hivi, ukweli ni kwamba tulifahamiana tukiwa wadogo akajaona hajajipa sijui alionaje mwenyewe, kuna kipindi akaniaga kuwa hatokuwa available, Alienda kuhustle kwa about 3 years karudi ana elimu nzuri, kazi nzuri na hela anayo ndio hapo akawa ananipa hizo hela. (hili si la muhimu sana) la muhimu ni kusema kuwa kuna watu no contact inawasaidia kuwa motivated.
Nilikuja kuelewa maisha ya wanaume yana mambo mengi sana, nadhani ndio hii ghost mode anayoizungumzia mleta mada.
Exactly, 🎯📌Sisi tulozaliwa familia za kimaskini kuna muda hua unafika hii hali inakujia automaticaly. Utake usitake utajikuta alone alaf kama dunia imekudondokea hivi.. Na kila ukijaribu kufurukuta basi utaskia watu wanakufariji kwa maneno ya kukukatisha tamaa huku wakikumbushia mabaya yako na mema ulotenda yakionekana yalikua hayana umuhimu. Kwamba hata usinge tenda wewe angetenda mwingine, na hata yasinge tendeka kabisa kulikua hakuna cha kuharibika.
Lakini ndo wakati sahihi wa kuinuka, well said mleta uzi..
I feel youHatari mkuu. Hiyo imenikuta niliporomoka kiuchumi alafu wale niliowasaidia kuwainua wakawa wako stable, huwezi amini japokua ni familia moja lakini nilisimangwa sana. Kama nilitoka huko nikachukua hela zote na miradi yote nikahonga kwa mara moja.
Kilicho nishangaza kwanini wananisema vibaya na sijafanya kusudi, na huenda nisingetumia kuvu kubwa kuwainua wao ile hali me nisinge ipitia. Na sijawaomba msaada wala nini, nikawa naskia maneno ya chinichini mmoja wao anasema mpaka nimuombe msamaha atanikopa hela kidogo nijikim.
Dunia ngumu sana. Nimekaa kimya nimechanga karata zangu sahzi naanza kurudi kwenye form yangu kwa kasi, watu wamenuna. Wengine wanajichekesha kishoga. This time around nyoka halambi ungi, kila jitu likale lilipo peleke mboga kudadeku.
Kwenye ghistphase i was all alone, compleatly alone. Kuna muda mpaka unaweweseka unahisi dunia ni shimo na umetumbukia pekeako. Noma saana.
Umesema vyemaNilikuja kuelewa maisha ya wanaume yana mambo mengi sana, nadhani ndio hii ghost mode anayoizungumzia mleta mada
Yeah inasaidia sana Mimi ninao hiyo wisdom Huwa nikipitia msoto mkali Huwa najitenga kabisa hata social network Huwa sitaki kutumia Huwa nataka kupambana na maisha like die hard Ile Ile, mitandao Huwa naona inanifanya nipoteze concentration pia Huwa napunguza circle ya watu kabisaaa Huwa nabaki na watu wachache and hiyo plan Huwa inanifanya niibuke mshindiKuna watu motivation yao wanaipata kwa kujitenga, sio kujitenga kabisa ila kujitenga kutoka kwa wale anaofahamiana nao like mahusiano yake ya karibu, Ndugu, jamaa, marafiki, mpenzi, wazazi etc.
Mfano: Kuna siku niliandika humu kuna mtu alikuwa ananipaga 30k-50k kwa siku kila siku kipindi tuna date. Mtu mwenyewe yuko humu, Haikuwa hivi hivi, ukweli ni kwamba tulifahamiana tukiwa wadogo akajaona hajajipa sijui alionaje mwenyewe, kuna kipindi akaniaga kuwa hatokuwa available, Alienda kuhustle kwa about 3 years karudi ana elimu nzuri, kazi nzuri na hela anayo ndio hapo akawa ananipa hizo hela. (hili si la muhimu sana) la muhimu ni kusema kuwa kuna watu no contact inawasaidia kuwa motivated.
Nilikuja kuelewa maisha ya wanaume yana mambo mengi sana, nadhani ndio hii ghost mode anayoizungumzia mleta mada.
It’s for personal development, sidhani kama unarudi kuwatambia. Kurudi ni reconnect.Sasa mfano umetokomea huko umerudi unakuta wale uliokuwa ukiwa-'ghost' hawakuhitaji tena. Itakuwaje?
Naona kama lengo la kuwa ghost ni kuja kuwatambia watu kimtindo.
Haya mambo ya kuwabeba beba watu Haya nimejifunza nikitu kibaya sana it will ruin your career,
Usiishi kwa kutafuta validation and acceptance ya watu. Watu wanaokuja kwenye maisha kuna wengine wataondoka na wengine watabaki.Sasa mfano umetokomea huko umerudi unakuta wale uliokuwa ukiwa-'ghost' hawakuhitaji tena. Itakuwaje?
Naona kama lengo la kuwa ghost ni kuja kuwatambia watu kimtindo.