Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,641
- Thread starter
- #101
Sio lazima uwe accurate kwenye kila kipengere. Ukitiki vipengere 8 kati ya 10 bado utakua kwenye uelekeo sahihiMaisha yamenirudisha katika hii phase kila kitu kimekuwa kama ulivyosema ila hili la kutokuwa na mwanamke wa kupunguza uzito hili ndo bado mpaka sasa linanitatiza najiona siwez
Nina miez 6 sasa kwenye nyakati hizi