Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,499
- 46,540
We kijana, kila mada lazima uibuke na hoja ya mishangazi, una mishangazi ya kila rangi.Nikiwa hiko kipindi nikakutana na ghost aunt...
Yaani ni full misuguano afu kwa sasa kuna huyu ghost aunt nae anafagilia sana harakati anataka anipeleke south africa
Inafanya kazi, nina rafiki yangu anaitwa Dori nae since tukiwa 20’s alikuwa anafanya hivo.Yeah inasaidia sana Mimi ninao hiyo wisdom Huwa nikipitia msoto mkali Huwa najitenga kabisa hata social network Huwa sitaki kutumia Huwa nataka kupambana na maisha like die hard Ile Ile, mitandao Huwa naona inanifanya nipoteze concentration pia Huwa napunguza circle ya watu kabisaaa Huwa nabaki na watu wachache and hiyo plan Huwa inanifanya niibuke mshindi
Exactly 💯Usiishi kwa kutafuta validation and acceptance ya watu. Watu wanaokuja kwenye maisha kuna wengine wataondoka na wengine watabaki.
We are wired differently. Tunatofautiana namna tunavyorespond kwenye hisia zetu na tunavyotafuta energy.Hao watu walikuwa wanazuia mafanikio yako kivipi mpaka uamue kuwatenga? Nashindwa kuelewa...
Hii point muhimu sana,at the end everything is about to love and be loved-ukiokosa hii utahisi huna maana hapa dunianil.Lakini unajua kuwa binadamu ni social animals kama walivo nyati, nyumbu, simba n.k. Kujitenga sio poa kabisa kunaweza kukuletea msongo wa mawazo na ukajikuta unafanya vitu ambavyo hukutarajia. Na pia watu wanaweza kukutenga pia kwa kuona nawe umewatenga pia.
Understood madam.We are wired differently. Tunatofautiana namna tunavyorespond kwenye hisia zetu na tunavyotafuta energy.
To some people, kuna watu wanawalia energy yao (tunawaita energy vampires) Kwahiyo ili apate focus anakaa pembeni kwanza.
Mbamizwa kobaaNikiwa hiko kipindi nikakutana na ghost aunt...
Yaani ni full misuguano afu kwa sasa kuna huyu ghost aunt nae anafagilia sana harakati anataka anipeleke south africa
😂😂😂😂😹😹😹😹
Kunywa soda nakuja kulipa..!!
Huyu mpuuzi anawapangia maisha ambayo yeye mwenyewe hayaishi..!!
Sasa mwisho wa yote ni nini? 😹
Nani atajali yeye akiwa kimya?
😂😂😂😂😂😂Kwa maisha ya sasa yalivyo race ukiapply ghost phase kwa demu wako ukirudi usishangae kuitwa shemeji na hakuna anayejali 😹😹😹
Tuliza mbupu tu utafute ajira shogaangu..!! 🤣😹
😂😂😂😂😂njia ulizopitia wewe kufanikiwa ni tofauti na yangu, wewe 1 jumlisha 1 sawa na 2 lakini wengine tunafahamu kuwa ni 11
sidhani kama umemuelewa mtoa mada! Mi baada ya kusoma ndo nimegundua niko kwenye ghost mode automatically!Lakini unajua kuwa binadamu ni social animals kama walivo nyati, nyumbu, simba n.k. Kujitenga sio poa kabisa kunaweza kukuletea msongo wa mawazo na ukajikuta unafanya vitu ambavyo hukutarajia. Na pia watu wanaweza kukutenga pia kwa kuona nawe umewatenga pia.
Kupitia ushauri gani huo ?Mleta asikilizwe na kutunzwa, ni mtu muhimu sana ukanda huu.
Maneno yake na mada zake ni tiba chungu ila zinasaidia. Kupitia ushauri wake nimepata kabikra safi ni mwaka sasa tunaenda sina wasiwasi. Nikipata mtoto wa kwanza kupitia huyo mke nitampa jina la mleta mada.
Ndiomaana mim hela yangu wanafaidi familia yangu na wazazi wangu, Hawa waliobaki natoa nikiguswa na Imani. Unajitia baba huruma kesho umefulia Ndio hao wa kwanza kukuponda na karjeri kibaoHatari mkuu. Hiyo imenikuta niliporomoka kiuchumi alafu wale niliowasaidia kuwainua wakawa wako stable, huwezi amini japokua ni familia moja lakini nilisimangwa sana. Kama nilitoka huko nikachukua hela zote na miradi yote nikahonga kwa mara moja.
Kilicho nishangaza kwanini wananisema vibaya na sijafanya kusudi, na huenda nisingetumia kuvu kubwa kuwainua wao ile hali me nisinge ipitia. Na sijawaomba msaada wala nini, nikawa naskia maneno ya chinichini mmoja wao anasema mpaka nimuombe msamaha atanikopa hela kidogo nijikim.
Dunia ngumu sana. Nimekaa kimya nimechanga karata zangu sahzi naanza kurudi kwenye form yangu kwa kasi, watu wamenuna. Wengine wanajichekesha kishoga. This time around nyoka halambi ungi, kila jitu likale lilipo peleke mboga kudadeku.
Kwenye ghistphase i was all alone, compleatly alone. Kuna muda mpaka unaweweseka unahisi dunia ni shimo na umetumbukia pekeako. Noma saana.
Huu ni bonge la Uzi mkuu. Natumai adriz atapita hapa.
Hiyo familia yako hakikisha ni wanao na mkei kwa mbaaaaaaaaaaali.. Hawa kin kaka dada na mabinakudadadeki bora wasingekuepo dunianiNdiomaana mim hela yangu wanafaidi familia yangu na wazazi wangu, Hawa waliobaki natoa nikiguswa na Imani. Unajitia baba huruma kesho umefulia Ndio hao wa kwanza kukuponda na karjeri kibao
Ndio maana ake,Hiyo familia yako hakikisha ni wanao na mkei kwa mbaaaaaaaaaaali.. Hawa kin kaka dada na mabinakudadadeki bora wasingekuepo duniani
Noma sana, watu wananipa hasira sana, sema ndo vizuri maana ninazihamishia kwenye kutafuta pesa. Ili wakija kulia shida nibawakatalia makusudi walalamike. Situmii nguvu tena juu yao, wanajiumize wenyewe kudadekiNdio maana ake,