Ghost of Tsushima best game Asee

Ghost of Tsushima best game Asee

Shukrani kiongozi,
Naeza kuitumia kwenye PC directly au natakiwa kufanya other installations?
Installation mzee hiyo dodi repack Lisaa tu au masaa mawili imemaliza unakula maisha kikubwa umeet minimum requirement

At least una Graphic card yenye GTX 1050 vram 2gb/4Gb na Kuendelea
 
Wakuu kwema poleni mihangaiko ya kutafuta ugali wetu wa Kila siku

Basi Nimepata Kalikizo nkaona isiwe kesi Wacha nivute game nicheze kwenye laptop yangu (gaming PC GTX 1050)

Nikaweka uncharted ,na game nyingine nyingi tu ikiwemo ghost of Tsushima ila Bado sijaona game Kali kuzidi hili ghost upande asian game katana game ni very realistic haswa

Hivyo kama wewe ni mdau wa gaming basi hili game usilikose
Hio game kwenye 1050 inacheza vizuri kwelii
 
Ghost Inacheza kwenye GTX 1050 yenye 4gb Vram na 2Gb Vram unacheza vizuri kabisa kwenye 2Gb itacheza Kwa low setting 720p unapata quality nzuri tu

Ila kwenye Rtx 2060-5030 unacheza Kwa quality unayotaka wewe

Nina Rtx 3060 ninacheza utla game zote

Kipengele umeme tu ila ukiwe cooling pad Yako aha unyama tu umeme unanusa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom