Ghorofa linauzwa Kariakoo Dar es Salaam bei ni TSh Bilioni 2.5

Ghorofa linauzwa Kariakoo Dar es Salaam bei ni TSh Bilioni 2.5

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
116
Reaction score
103
GHOROFA LINA UZWA
LOCATION:KALIAKOO
MTAA WA KIUNGANI STREET
Kuna vyumba 10 floor no 1
Floor no 2 Ina vyumba 10
Ground floor Ina flem 10
Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7
Na kuna Godown 1
Eneo lite lina SQm 290
BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana
Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile unafanya
Eneo lina hati safi toka wizara ya aridhi
🇹🇿Call/WhatsApp +25575844717
IMG-20250423-WA0038.jpg
IMG-20250423-WA0041.jpg
IMG-20250423-WA0040.jpg
IMG-20250423-WA0036.jpg
 
Lina mpango wa kuporomoka lini? Toeni taarifa zote kwa wananunuzi
 
Mbona wanauza bei rahisi hadi inaogopesha au wameshaona dalili ya kuanguka kama lile lingine
 
Back
Top Bottom