Ghorofa ladondoka Maeneo ya Kijitonyama

Ghorofa ladondoka Maeneo ya Kijitonyama

Oooh my God .. Tenda miujiza mtoto atolewe hai.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mtoto Joani binti wa miaka 9,mwanafunzi wa shule ya Bethel mission amefariki dunia so sad"
 
Mtoto Joani binti wa miaka 9,mwanafunzi wa shule ya Bethel mission amefariki dunia so sad"

Mungu ampumzishe kwa amani. Awafariji wazazi wake na kuwafanyia wepesi katika jaribu hili.
 
Chunguzeni vizuri usijekuta UAMSHO wametupa bomu hapo! Pole kwa wale wote walipatwa janga hili.
 
Back
Top Bottom