Ukitaka kuona uozo wa hii nchi kwanza anzia Dar es salaam..huu ni mji mchfu,un organised kwa kilaa kitu,wenye kila aina ya wizi na utapeli kuanzia wa viwaja mpaka Matibbu na pia kuna hali mbaya sana sana ya Uchafu,,yaani kila kitu ni shida...Pia kuna hawa na Mainjinia wa Jiji na Manispaaa wale wamegawana maeneo ila huwezi amini wale ndio Mbwa mwitu ndio mana unakuta nyumba inandikwa simamisha ujenzi keso yake inaanza kujengwa tena...
Serikali yetu ni dhaifu sana sana..imeshindwa kusimamia lolote likasemwa hili sawa!! yaani jamaa hawa hamna kitu kabisa...Idara ya Polisi ni ya kuvunja sio kurekebisha Polisi Ivunjwe iumdwe upya