Ghorofa ladondoka Maeneo ya Kijitonyama

Ghorofa ladondoka Maeneo ya Kijitonyama

Sidhani kama clouds wana utani kama huu.
 
Mkuu cacico !
Unasomeka upo Dar si uende hapo utupatie habari kamili wadau hapa!
Au uwepo wako Dar ni wa magumashi tu; wote tupo huku Misogamisoji tu... Halafu tunazuga tupo Dar
Ni vyema ukaja na picha ya tukio pia!
 
Tunahitaji habari kamili kwa walioko maeneo hayo, ghorofa lilijengwa na mkandarasi mtanzania au kampuni ya nje?
 
Ni kweli.ni ghorofa ambalo nadhani walikua wanaishi watu wachache..halionekani kama ni ghorofa zuri ila kulikua na watu waliokua wanaishi pale na kuna mama mmoja alikua analia mtoto wake wa pekee ambae ni mdogo na housegirl wamenasa ndani na alikua anaongea nao bado wapo hai..polisi na gari la zimamoto washafika na wanajitahidi kutafuta njia ya kuingia ndani..ila kwa nilivyopaona pale na vifaa walivyonavyo only God knows!!
 
rais dhaifu huleta wakandarasi dhaifu! TUHURUMIWE SANA WATANZANIA! Poleni sana majeruhi!
rais anahusikaje? kama mwenye jengo hakufuata taratibu za ujenzi ubora nani alaumiwe
 
Today, 17:54Agwambo
Gorofa limeanguka sinza Limefunika watoto

Nimepat habari gorofa limeanguka sinza karibu na Johannesburg hotell limefunika watoto mpaka saiz imeshindikan kuwaokoa ,nitaendelea kuwajulisha zaidi Kari ninavyopata update
 
Ni kweli.ni ghorofa ambalo nadhani walikua wanaishi watu wachache..halionekani kama ni ghorofa zuri ila kulikua na watu waliokua wanaishi pale na kuna mama mmoja alikua analia mtoto wake wa pekee ambae ni mdogo na housegirl wamenasa ndani na alikua anaongea nao bado wapo hai..polisi na gari la zimamoto washafika na wanajitahidi kutafuta njia ya kuingia ndani..ila kwa nilivyopaona pale na vifaa walivyonavyo only God knows!!
Weka picha ulivyopaona...
 
Nishaondoka tayari!ila nimeona baadhi ya waandishi wa habari wamefika
 
Topic Review (Newest First)
Today, 17:29kibaravumba
Tujuzeni kuhusu kuanguka kwa ghorofa nne K nyama!

Ni hivi punde nimesikia mtu mmoja akijitambulisha kama Onesmo akitoa taarifa ya kuanguka kwa ghorofa hapo Dar maeneo ya Kijitonyama na kuna watu wamenaswa ndani!Hii ni habari niliyoisikia kutoka Clouds FM!
 
Nimeskia ni gorofa la zaman miaka ya 80.Mkandarasi wake na mmiliki inadaiwa walishafariki.Hzo ni tetesi tu ila sidhan kama serikali ya dhaifu inahusika if mchakato wa ujenz ulikuwa wa miaka hyo ya themanini kweusi.Cheers
 
Mkuu cacico !
Unasomeka upo Dar si uende hapo utupatie habari kamili wadau hapa!
Au uwepo wako Dar ni wa magumashi tu; wote tupo huku Misogamisoji tu... Halafu tunazuga tupo Dar
Ni vyema ukaja na picha ya tukio pia!
Mkuu Wilbert1974, huyu cacico amenunuaje tena kesi hii? Mi nilidhani utamdai aliyeanzisha uzi ndio alete hivyo vitu vya kuthibitisha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom