Ghetto langu

Vipi mshana@jr hupiki kwenye ilo geto lako
 
Last edited by a moderator:
Hamna stress hapo, safi sana.

Haya mambo mengine babylon tu
 
Hahaha mkuuu una balaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu weekend nina kamchepuko kangu dogodogo kanaogopa kuingia gesti utaniazima funguo ya gheto nipige mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…