Ghetto breakfast. ..

Hapo sasa halafu mtu hajui kama hata ukila pipa la ugali, mwili utachukua only required amount of nutrients. Mtu kama huyu hata ukimwelewesha kuhusu food suppliments hawezi kukuelewA asilani
Alafu usiku wa kilala wanasema wachawi wananikaba kumbe chakula anachojishindilia
Asubuhi ugali kbla ya kulala ugali

Ova
 
Usishangae bro
Hapo itakuwa Kinondoni.
Wanaume tunazidi kupungua inabidi tuitishe kikao cha dharura nilitegemea kuona dona hapo na Sangara au sato mkubwa sana
 
Hapo sasa halafu mtu hajui kama hata ukila pipa la ugali, mwili utachukua only required amount of nutrients. Mtu kama huyu hata ukimwelewesha kuhusu food suppliments hawezi kukuelewA asilani
Mkuu Wanaume hatuli ivo sasa apo unaweza piga ata vitatu kweli kwa ujinga huo unaokula na dada zako waleje sasa
Sasa kula ivo afu kanywe pombe ndo utajua hakuna mwanaume anakula ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…