rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,534
- 6,618
Comments zote hakuna hata mjinga mmoja aliyeweza kuweka gharama na bei za hayo magari, mtu amekalia kusema tu sio bei yake tumepigwa
Tajeni sasa bei halisi.
Tajeni sasa bei halisi.
Sisi tunashukuru, kwa sasa tutatoka Mazimbu to Main campus kwa uhakika kabisa go and return bila kupata breakdown, tunaamini chenji zimeenda kwenye shamba darasa.
Ova.
Huyo ni yule twiga aliepandishwa ndege?
Mkuu mil 40 hiyo unanunua Harrier tako la nyani used baba.Hilo Tata la millioni 200 liko wapi???!!!!!, watz ifike mahali tuwa serious, hilo basi la milioni 40 ndio limekuwa gharama mara 5????!
Yutong mpya ni around 200 millionwewe unazungumzia used za japan. Serikali huwa hainunui used
Naunga mkono hoja.Magari ya wahindi hayo mara ya mwisho niliyaona maonyesho ya saba saba mwaka majuzi lakini bei yake haikuzidi sh 100 mill labda hayo ni special order yanabeba binadamu na kemikali za mashambani!
Sisi tusiojua hesabu ngoja tikae kimya
Marcopolo inafika bei gani mkuu, bora hata wangenunua yutong kuliko hayo mabatiYutong mpya ni around 200 million
Hayo magari mara ya mwisho niliyaonaga Mtwara yakienda wilayani huko tandahimba,masasi.View attachment 1188345
Habari ya jioni wakubwa, nauliza tu maana wengine hatujui chochote,Je gharama tajwa hapo juu ni sahihi ukilinganisha na hayo mabasi yalivyo?
Millin 400 hapo tungepata marcopolo moja kubwa na mpya anangalau wangetushawishi kidogo kuliko hayo makatandinga ya kihindi
Yutong mpya ni around 200 million
Mkuu,hivi ile Mazimbu Road wameweka lami?
Kweli aisee, hayana mwonekano wa gari mpya!!Inawezekana maana sijui bei za magari ilaa niliyaona moro haya magar nikajua labda wameyakarabati kumbe mapya.
Tumezoea watu wanaongeza ' 0' hapo watu wame X 4...tawile TzView attachment 1188345
Habari ya jioni wakubwa, nauliza tu maana wengine hatujui chochote,Je gharama tajwa hapo juu ni sahihi ukilinganisha na hayo mabasi yalivyo?
Sawa, hizo ambazo uliziona zilikuwa model ipi? Na seaters ngapi?! Kwa hiyo ya juu huwezi kwa hiyo bei labda iwe usedMagari ya wahindi hayo mara ya mwisho niliyaona maonyesho ya saba saba mwaka majuzi lakini bei yake haikuzidi sh 100 mill labda hayo ni special order yanabeba binadamu na kemikali za mashambani!
Ulitegemea bei ya bus jipya iwe sh ngapi?View attachment 1188345
Habari ya jioni wakubwa, nauliza tu maana wengine hatujui chochote,Je gharama tajwa hapo juu ni sahihi ukilinganisha na hayo mabasi yalivyo?
Million 40 hata used hupatiHilo Tata la millioni 200 liko wapi???!!!!!, watz ifike mahali tuwa serious, hilo basi la milioni 40 ndio limekuwa gharama mara 5????!