Gharma hiii ni kweli au tumeliwa

HFOOO

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
683
643
20190823_163954.jpg

Habari ya jioni wakubwa, nauliza tu maana wengine hatujui chochote,Je gharama tajwa hapo juu ni sahihi ukilinganisha na hayo mabasi yalivyo?
 
View attachment 1188345

Eicher hadi linaingia road ni 110 milioni hapo ushalipia kila kitu limekamilika sasa hilo tata sijajua kama linafikia hiyo au kwa kuwa ni manunuzi ya kiserikali huwezi jua huenda ni sahihi
 
Magari ya wahindi hayo mara ya mwisho niliyaona maonyesho ya saba saba mwaka majuzi lakini bei yake haikuzidi sh 100 mill labda hayo ni special order yanabeba binadamu na kemikali za mashambani!
 
Eicher hadi linaingia road ni 110 milioni hapo ushalipia kila kitu limekamilika sasa hilo tata sijajua kama linafikia hiyo au kwa kuwa ni manunuzi ya kiserikali huwezi jua huenda ni sahihi
wewe unazungumzia used za japan. Serikali huwa hainunui used
 
Inawezekana maana sijui bei za magari ilaa niliyaona moro haya magar nikajua labda wameyakarabati kumbe mapya.
 
Back
Top Bottom