kibaigwa finest
Senior Member
- Oct 18, 2026
- 136
- 142
- Thread starter
-
- #21
Amemkosea Nyerere Au amekosea sanamu lake
Au Kinyago cha mwalimu Au basi
Sisi watu wa vijijini tunao amini bado Rais ni Nyerere tunaamini yule ndiye.
Hapana, ndo tumesikia hiyo kutoka kwa mzinga.Alaf mnaamini kuwa nyerere anachajishwa
Sijaelewana chochote. Nieleweshe basiMkuu samahani mpe na jina mbadala sasa anatakiwa akionyeshwa amuiteje?
Sijaelewana chochote. Nieleweshe basi
Yule dogo kakosa ubunifu anachofanya ni kujivunjia heshima yeye mwenyeweMtangazaji wa mpira wa miguu kutoka kampuni kubwa la matangazo la AZAM MEDIA LIMITED GHARIBU MZINGA anamkosea Sana shabiki wa mpira anaye igiza Kama mwl nyerere kwenye mechi za yanga GHARIBU MZINGA akimuona huyu jamaa pindi kamera inapomuonyesha nakusema Ni NYERERE WA KUCHAJI sio Mara ya Kwanza kusema hivyo mechi ya ligi yanga vs pampa jiji na Jana kwenye mechi ya ligi ya mabingwa yanga vs cffa .hii sio sawa kabisa Kama taifa inabidi tumpe moyo huyu jamaa kwa ujasiri na uwezo wa kusimama Kama mwl nyerere mwanzo wa mechi Hadi mwishoni mwa mechi
Punguza kiherehere, ajibu niliyemuulizaTunamjadili ANKO T
Are you serious?Sijaelewana chochote. Nieleweshe basi
Anapambana kufanya nini??Ndy jamaa anapambana sana
Umeelewa kwa sababu unakijua kilichoandikwa kabla ya kuandikwa.Are you serious?
Muda huu nasinzia kesho nitakupigia nikueleweshe. Si ni sawa?Umeelewa kwa sababu unakijua kilichoandikwa kabla ya kuandikwa.
Subiri kidogo nakupigia mwenyewe video call, usizime bandoMuda huu nasinzia kesho nitakupigia nikueleweshe. Si ni sawa?
Nahisi kwa kuandika hutaelewa hata. 😉
Eewaaaa.Subiri kidogo nakupigia mwenyewe video call, usizime bando
Wana yanga kwa mideko