Gharib Mzinga apunguze kutoa historia kwenye mechi, atangaze mechi bhana

Gharib Mzinga apunguze kutoa historia kwenye mechi, atangaze mechi bhana

Bado nampenda utangazaji wa redio km akina nkamia na mpenja, makelele miingi na mbwembwe...
Hapo unaangalia Mpira uku unapata maarifa mapya km wewe kweli mashabiki wa hio timu, japo internet nayo inatusaidia ku google na kupata mambo mengi ya kisoka sikuhizi...
Akina Peter Drury sijui na Nan yule Uingereza utasikia " If Arsenal lost today against Manchester city, it will for the first time since 2023 at Etihad when lost4-1" so ht km mtu huna simu ya internet na sio mfuatiliaji sana utakuwa ushajua..
Bado hawajaweka na mbwembwe zao hapo"Glory days are old..Trophies are old, best players are old..Ladies and Gentle Men This is Old Trafford" hapo man Utd km sijasau ametoka kupigwa vipigo vizito nje ndan na mpinzani wake wa jadi km sio Man city bas Liverpool 6-1 na 7-0 kipigo Cha klopp na ht Tottenham na kunusurika kushuka daraja ..
 
Kama ishu ni kiona tu, watazamaji huona kila kitu, kwahiyo commentary na commentator haitajiki.

Mzinga anafanya vema kudokeza na historia fupi. Lakini siku hizi amekuwa mpaka anakera, imefikia hatua anashindwa kujua wapi atoe historia na wapi aendelee na commentary.. muda mwingine anazungumza hata visivyokuwa na mantiki..
Acha wivu fala weye. Mpira tunaona kwa television so pale tunataka visivyo onekana kama afanyavyo mzinga.
Mfano mimi mpenja sipendi anavo piga makelele hana anacho jua
 
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.

“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”

“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”

😂😂😂

Badilika mwanetu Kilwa Finest

Hata mke wangu naye anaona kama wewe. Wanawake huwa hampendi historia. But anachofanya mzinga ni sahihi. Ingawa wanawake mnaweza msipende
 
Sio wote atatangaza mpira tu kuna kuda wa kutupia tupia maneno mawili matatu
 
Back
Top Bottom