Gharama zauendeshaji wa kesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama zauendeshaji wa kesi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by tutaweza, May 25, 2012.

 1. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Jamani wataalamu nahitaji kupata uelewa katika hili.
  Imekuwa ni kawaida kusikia mtu anaposhindwa aina flani za kesi Hutakiwa kulipa gharama za uendeshaji wa kesi husika.
  Nahitaji kufahamu aina ya gharama zinazozungumziwa.
  Na je, mtu akiomba mnyumbuliko wa gharama hizo ili kujiridhisha kuwa ni sahihi anapewa!?
   
 2. M

  Mzee Kabwanga Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kawaida shauri la madai unaposhindwa inatakiwa umlipe aliyeshinda .Na yeye atawasilisha madai yake mahakamani kuonyesha anadai nini na mahakama ijiridhishe ma madai hayo.
   
Loading...