Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Wakuu Mission In Congo ni ya Mda mrefu na Askari Tanzania wapo huko kwa Muda mrefu Je gharama za malipo wakiwa nchini humo zinalipwa na nani? Je hata kama wanalipwa na Congo mishahara yao huku huwa Inaendelea kulipwa yaani wanakua double salaried au?
Askari wa Tanzania Nchini Congo.
Askari wa Tanzania Nchini Congo.