Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

Hakuna cha speed ni taabu tupu ,hata msg ya whatsap kutuma ni shida.Inatakiwa waboreshe speed kwanza suala la bei lije baadae.
 
Hawa airtel biaahara imewashinda air tel money shida, kupiga na kupokea shida, internet ndio itakuwa nzuri.
Wakazane kuboresha Huduma hao.
Kwa sasa TIGO wanatosha.
 
Mimi huwa natumia zaidi zantel ingawa bei yao ipo juu ,ila ninachokipata usipime speed 120,halafu kwenye kona Kali.
 
Back
Top Bottom