Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

Nimenunua cha wiki 6000. Mpaka sasa naona speed iko poa. IDM download inafika mpaka 1.3mpbs
 
Kwa suala la speed siyo nzuri kabisa maana me mwanzo nilikuwa natumia airtel modem ila nikaona bora nihamie voda maana wako vizr sana nadhani asaiv airtel wataku wamezidiwa na wateja,nakaa kinondoni moroco hivyo ni maeneo yenye 3g
 
kaka kuna maeneo airtel wanakimbiza mbaya na kuna maeneo mengine ni majanga, Nishawahi kuleta feedback kwamba Sister angu anakaa pale Morrocco pua na mdomo na Airter makao but speed majanga ila mie wa huku Manzese kupata 1MBps siyo ishu.
hivi vya OMG nitaleta feedback asubuhi baada ya kutest.
Huko Morrocco chomeka tigo uone mziki wake mpaka utaipenda
 
speed iko poa sanaa, nilikuwa natumia voda yani kuingia play store tu shida ila nitest airtel ya mb 600 leo nadownload application hadi basi
 
Lakini hata hivyo, ukipiga hiyo *148*88# unapata machaguo mengi zaidi ya hayo waliyoweka kwenye website. mfano, ukichagua OMG wiki unapata options hizi:
1. MB 600 kwa Sh 600
2. 1.2GB kwa Sh 900
3. 3.5GB for Sh 1700
4. 6GB kwa Sh 2500
5. 11GB kwa Sh 6000

Mie nilichagua 3.5GB for sh 1700, nimeitumia sana, lakini kila nikiuliza salio inasema tu BUNDLE 3GB! Hata sielewi!

Weweee kaaa kimya unaharibu sasa
 
speed yao ni nafuu kidogo mjini.Ila sie tuliopo pe
mbezoni mwa miji ni kimeo.Hamna kitu, nafuu kidogo vodacom.Mie hata line yao niliishatupa.
 
Tusisahau kuwa access technology inayotumika kupata internet ya mobile zote ni shared.
kwa maana hata kama wanarusha 40mbps. wakitumia wawili tu itakuwa ni 20mbps. wakitumia watu 40 kwa wakati mmoja itakuwa ni 1mbps. na kama kuna watu 100 itakuwa ni 0.4mbps
assuming that wanatumia internet kwa kuinyonyoa kwa kiwango sawa.
hivyo kuna factor nyingi zitaplay role katika kupata hicho unachokipata.
baadhi ya maeneo inakuwa powa sana. na baadhi inakuwa speed ya kobe.
 
Lakini hata hivyo, ukipiga hiyo *148*88# unapata machaguo mengi zaidi ya hayo waliyoweka kwenye website. mfano, ukichagua OMG wiki unapata options hizi:
1. MB 600 kwa Sh 600
2. 1.2GB kwa Sh 900
3. 3.5GB for Sh 1700
4. 6GB kwa Sh 2500
5. 11GB kwa Sh 6000

Mie nilichagua 3.5GB for sh 1700, nimeitumia sana, lakini kila nikiuliza salio inasema tu BUNDLE 3GB! Hata sielewi!

Hii 1.2 GB most of the time wanakula hizo .2!

Nimenunua mara 3 napata the same thing.

Speed pia ndogo sana unless I use 3G options
 
hii kitu ya OMG ni nzuri sana. Kinachoniudhi kwa tunaotumia modem ni kuwa lazima utoe sim card na uchomeke kwenye simu ndo uombe kwa ku dial *148*88# badala ya ku send msg kama zamani kwa mfano - OMG_1 kwenda 15444

time is money na chomoa chomeka inaleta uharibifu wa chemba ya sim card kwenye simu au modem
 
Natumia Mac na ninanunua bundle right on modem bila matatizo yoyote.
 
Back
Top Bottom