KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Pamoja na mapungufu yake, angalau tutapata mtu mwenye uwezo wa kufikiri, mchapa kazi na mtu asiyetaka mzaha. Sidhani kama atasafiri kwenda Jamaica.
Anacheza ngoma ya Tapeli wa neno la Mungu aendaye kwa jina la T. B. Joshua ambaye kwake utajiri ni symbol of power, spirit, Vision and Strength. Hizi story au maandiko ya kusema ni vigumu kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu, kwa T. B. Joshua ni magumashi. Kwa T.B. Joshua, utajiri is everything na hata kama utaupata kimakosa, basi yeye yuko tayari kukuombea na ukasamehewa ili mradi tu utoe sehemu ya utajiri uliopatikana kwa njia ya wizi kwenye kanisa lake.
Kwa T. B. Joshua kama unataka kufika kwenye ufalme wa Mungu basi wewe Tajirika kwanza na umpatia pia sehemu ya utajiri wako ili akupatia huduma ambayo ni first track kwenye ufalme wa Mungu.
Hufahamu hata kitabu cha Biblia kinasema kuwa kuna wana wa Israel waliahidiwa nchi ya ahadi na katika safari yao kuelekea nchi ya ahadi, walipata misukosuko mingi sana. Hata Mh. Lowassa na yeye ameahidiwa na T. B. Joshua kazi ya ahadi nchini Tanzania na kwa sasa yuko safarini kuelekea kwenye kazi ya ahadi ambayo kuifikia lazima apitie vikwazo na misukosuko Mingi!.
Nyendo za Mh. Lowassa kwa sasa ni reflection ya story/Maandiko ndani ya kitabu cha Biblia.
Sifahamu atamlipa T. B. Joshua, Nigerian naira kiasi gani siku akiifikia kazi ya ahadi!.
Ama kweli wajinga ndiyo waliwao!.
Atamlipa robo ya ambacho JK kagawa bure kwa WachinaAnacheza ngoma ya Tapeli wa neno la Mungu aendaye kwa jina la T. B. Joshua ambaye kwake utajiri ni symbol of power, spirit, Vision and Strength. Hizi story au maandiko ya kusema ni vigumu kwa tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mungu, kwa T. B. Joshua ni magumashi. Kwa T.B. Joshua, utajiri is everything na hata kama utaupata kimakosa, basi yeye yuko tayari kukuombea na ukasamehewa ili mradi tu utoe sehemu ya utajiri uliopatikana kwa njia ya wizi kwenye kanisa lake.
Kwa T. B. Joshua kama unataka kufika kwenye ufalme wa Mungu basi wewe Tajirika kwanza na umpatia pia sehemu ya utajiri wako ili akupatia huduma ambayo ni first track kwenye ufalme wa Mungu.
Hufahamu hata kitabu cha Biblia kinasema kuwa kuna wana wa Israel waliahidiwa nchi ya ahadi na katika safari yao kuelekea nchi ya ahadi, walipata misukosuko mingi sana. Hata Mh. Lowassa na yeye ameahidiwa na T. B. Joshua kazi ya ahadi nchini Tanzania na kwa sasa yuko safarini kuelekea kwenye kazi ya ahadi ambayo kuifikia lazima apitie vikwazo na misukosuko Mingi!.
Nyendo za Mh. Lowassa kwa sasa ni reflection ya story/Maandiko ndani ya kitabu cha Biblia.
Sifahamu atamlipa T. B. Joshua, Nigerian naira kiasi gani siku akiifikia kazi ya ahadi!.
Ama kweli wajinga ndiyo waliwao!.
Robo ndiyo nini katika namba?.Atamlipa robo ya ambacho JK kagawa bure kwa Wachina
Ninaomba ufafanue Mkuu. Kekundu maana yake ni nini?........kashaluwa kekundu mkuu!!!!!
Huyu ni jembe anafaa kuwa Rais. Kama wizi hata jk ni mwizi tena mbaya zaidi mwanae anauza sembe ili aongeze utajiri,

Kweli mkuu,yashangaza sana wanaopinga na kuhaha asiende ikulu ni wenzake.mafisadi,wauza sembe, majangiri na wezi.wanataka wananchi waamini EL hafai wao wanafaa.Kitendo hiki kinamfanya yeyote mwenye akili timamu atambue kuwa huyo ni jembe.kwani, 'mti wenye matunda ndo hupigwa mawe'.
Fredy Lowassa mtoto wa Lowassa ndio mwenye biashara hizo,ndio wanahangaika na hela za biashara hivi kwenye nyumba za ibada ili kuzitakasa