Gharama za urafiki.

huyo mtu ni huyu waziri wetu wa elimu nini?
 

Noted Brother!!!
 

Tized nashukuru kwa ushauri wako. Ila lazima iwepo risk. Fikiria huyu bwana anakitaka kwa ajili ya kwenda kujidefend yeye na ajira yake. Uwezekano mkubwa ni kwamba atakapokipata, hatokaa akirudishe na tena itakuwa ugomvi mkubwa. Mi naona ili kuepuka huo ugomvi, ni heri kukaa kimya au nimchane live kwa nini nimemchunia. Hii itampa fundisho zaidi kuliko kukaa kimya.

Btw, nashukuru sana kwa ushauri wako mdau.
 

Sishangai kwa sababu bindamu akiamua kudeal na wewe hashindwi. Ninachokiamini, hatoweza kunifanyia lolote, kama ni ndumba hata mimi ninae Mungu ambae naamini hakuna mwanadamu mwenye uwezo wake. Niombee katika hili mkuu wangu.
 
Karibu kaka.

Utaangalia mwenyewe kaka, potelea mbali ukishindwa mpatie copy akacertify as a true copy of the original. to avoid futhe risk and losses claim the original is mislocated. Kuna msururu wa wanaomtegemea pamoja na kukosa kwake shukrani. kama ni kosa ulishafanya toka mwanzo kwa kutoa cheti chako ili akafanye huo udanganyifu.

Wengi wamekosa shukrani kwa kutokujua umuhimu wake au pengine kwa kuona wanastahili wasiostahili.
Hatufanyi vitu ili kushukuriwa, lakini niamini shukrani inakupa moyo na inakukereketa kuendelea kusaidia na wengine kwa kiwango kikubwa zaidi.

 
Vijana wa mtaani wanasema mteme huyo ni snitch achape lapa.
 
Huyo wala haina kujiuliza mara mbili ni kumpotezea tu!
 
akufaaye kwa dhiki ndio rafiki.
'hapa sasa hata sio kwenyewe'
 
kama Tz wangekua wanaruhusu kumiliki siraha,ninemtafuta huyo jamaa nimmalize....Iweje mtu asaidiwe miaka yote hiyo asikutafute walau kwa simu tu. In capital letters usimpe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…