Gharama za ujenzi wa copper smelter plant

Nikichukua mfano kutokea Indonesia wao kufikia mwaka 2020 wameingia mkataba wa ujenzi wa copper smelter plant 2 na inaenda kugharimu kiasi cha shilingi $4 billion hii ni taarifa ya maofisa wa serikali,,, baada ya mazungumzo kati ya serikali ya indonesia na shirikanla miner and jakarta.
Eehhh Mungu......
Nakuomba uokoe kizazi hiki cha .com, kisije potea kwa kukosa maarifa.
Ebu ona sasa..
 
mradi kama huu anahitajika jabali kama Ramadhani Dau ... ila awamu hii hao jamaa hawawezi kupata nafasi kamwe ..
 
Ukiacha suala la kuweka shilingi $4billion.
Hizi ndo ghrama za mtambo wa kuchenjua mchanga wenye madini ya shaba Tsh8,932,000,000,000/=:D
 
Ukiandika "shilingi $4 billion" unachanganya watu.

Shilingi ni kitu kimoja na $ ni kitu kingine.


Hakuna aliyebisha na kakiri, ila hoja yake inasimama kuwa ni dola 4 bil, jipe faida ya mashaka kuwa kila hela ni shilingi (haijarishi unaongelea $, Euro, Yen, rand nk)
 
Hata kiwanda cha kutengeneza toothpick tumeshindwa tutaweza hayo madubwana? Tamaa mbaya sana.
 
Selective truth.
Production ya concentrate Indonesia ni kubwa kuliko kawaida. Mfano mgodi mmoja tu Freeport fuatilia production capacity yake...
Mbona hujasema mwaka Jana wamefanya anachofanya president Sasa kwa Rais wao Joko widodo kuzuia exportation Bila kujali wanapata hasara wala budget ya nchi itayumba maana huko ni wachangiaji wakubwa, hadi wakubaliane kuongeza smelters na kukubali kusign kama wanaexport huo mchanga /concentrate basi Watoke kwenye mkataba nyonyefu Contact of work (CoW) kwenda kwenye special mining permit (IUPK).
Kwa vyovyote vile hata ikitokea tutaendelea kuexport au kununua customized smelter kulingana na concentrate yetu lazima hii kitu mwisho wake tutafaidika na wananchi tutakuwa conscious na kinachoendelea kwenye madini na kuishi Bila manung'uniko yanayosababishwa na kutokuwa na taarifa sahihi ya nini kinaendelea huko.
Kuna siku tutawapigia makofi hawa tunaowakosoa leo
 
Tunaimudu.


Ni kweli tunaimudu, si unaona kila kijiji kimepewa milioni 50 na sasa hawajui wazitumieje, hivyo ni bora zikarudishwa ili tufyatue huu mtambo.
Tunaimudu kabisa maana kama tunaweza kujenga matanuru ya matofari ya kuchoma na kuchoma mikaa tunashindwa vipi kujenga tanuru la gold, simpo sana
 
Back
Top Bottom