unajua tofauti ya. shillings,$,€.£ etc?Shilingi $4 billion!!!
vitu vingine vya ku google tu, hizi research za kujenga au kuuza zilishafanyika siku nyingi, ona hapa http://www.teck.com/media/CESL-Publication-Copper-On-Site-vs-Cu-Con-Sales-Alta-2005.pdfNikichukua mfano kutokea Indonesia wao kufikia mwaka 2020 wameingia mkataba wa ujenzi wa copper smelter plant 2 na inaenda kugharimu kiasi cha $4 billion hii ni taarifa ya maofisa wa serikali,,, baada ya mazungumzo kati ya serikali ya indonesia na shirikanla Freeport / miner and jakarta.
Freeport should build two new Indonesia copper smelters by 2020 -govt
Lengo lilikua kukukumbusha mkuu, naona usharekebisha.ni mistake kwenye uandishi sema limesha wekwa sawa
yeah man...Ni kweli tunaimudu, si unaona kila kijiji kimepewa milioni 50 na sasa hawajui wazitumieje, hivyo ni bora zikarudishwa ili tufyatue huu mtambo.
Tunaimudu kabisa maana kama tunaweza kujenga matanuru ya matofari ya kuchoma na kuchoma mikaa tunashindwa vipi kujenga tanuru la gold, simpo sana