Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Habari wadau,
Naombeni kujua gharama za wastani za ufundi wa kuweka Marumaru(Tiles), Maana kuna fundi amenitajia Gharama kubwa mno nikashindwa kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app