Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,505
Haiwezekani ununue smartphone au tablet kwa laki nne ukiwa nje ya nchi halafu ukija bongo unaikuta inauzwa milioni na zaidi!
Au huwa zinalipiwa kodi kama magari bandarini? Gharama ya kununua simu mbovu mbovu zinazotumiwa sana na watu wa kipato cha chini inatosha kuwawezesha kununua hata Samsung galaxy s3 au hata s4 genuine, serikali ilifanyie kazi hili maana asilimia kubwa ya wananchi wake wanatumia simu feki ambazo ziko mbioni kufungiwa.