Gharama za port charges na shipping line

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,285
habari wadau ningependa kujua tra watantoza sh ngapi,shipping line na port charges assume no stored,verossa 2001 engine 2.0
 
wanaotoza shipping charges na port charges siyo tra.shipping charges zinatozwa na wakala wa meli mfano diamond shipping line,inchcap etc. kwa
verosa shipping zinaweza kuwa dola 81 na port charges inaweza kuwa kama 240000
 
Shippin line nenda maktaba floor ya 3 inchkap na usd 75,port charges andaa 195k,kodi tra 5.3m
 
Wadau kwema? Gharama za shipping line na Port Charge zipoje kwa sasa kwa gari ndogo kama Passo??
 
Back
Top Bottom