Habari zenu wakuu. Nataka next month niende mikumi japo nispend siku moja. Hebu nimpeni mchakato pamoja gharama za kuwa mikumi jwa siku moja au 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hyo sio garama ni full hasaraGharama ninayoijua mimi ni ile ya ukizubaa unaliwa na simba
Daaah! Kweli we kiwembeGharama ninayoijua mimi ni ile ya ukizubaa unaliwa na simba