domingo123
Member
- Oct 18, 2016
- 47
- 41
Jamani mwenye uzoefu anisaidie kujua viwango vya kupiga simu na kutuma sms nje ya nchi kwa kutumia mitandao yetu nchini
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri...Mkuu mm siyo mfanyakazi wa hizi kampuni za mawasiliano, lakini hivi viwango vinategemeana na nchi.Maana kama voda naona special bundles kwa UK,US,India,China ,Dubai,South Africa, na Kenya ,lakini ukipigia nchi nyingine tofauti na hizo lazima uumie tu.kama calls zako sio very official kwa nini usitumie whatsapp, but pia hata kama ni official unaweza kutumia whatsapp au skype na ukamaliza deal.hii ni njia ya ku-optimise cost