Kaka hizo ni pesa za ziara nzima ya Obama toka Senegal, South Africa hadi Tanzania, na kwa sababu za usalama ziara ya Mikumi National Park ilifutwa!! Sisi pesa tulizotumia hazijulikani labda kama serikali sikivu ya CCM itakuja na takwimu sahihi ya gharama ambazo serikali imeingia kuhudumia ugeni huo!!