Habarini wanajamvi, katika pita pita zangu nimeona gharama za mafuta hapa nchini kwetu Tanzania( Aprili 2021). Kwangu mimi naona zinazidi kupanda tu.Kiukweli mimi sio mtaalamu wa mambo haya lakini naombeni watu watueleweshe inakuaje mafuta yanapanda bei. Sambamba na nini kifanyike bei iwe rafiki kwa watumiaji wa kila siku.
bei mpya za mfuta kuanzia tarehe 7 april 2021
bei mpya za mfuta kuanzia tarehe 7 april 2021