Gharama za kwenda China

Nadhan watu 8 ameshanijibia hayo maswal ya loose cargo na CBM...also we have a company ambayo ina dil na ununuaj na uletaj wa bidhaa from China as loose n full container karibu...!
Asante sana Charity inahitaj minimum capital kiasi gani kuanza kwenda China kununua bidhaa na kuleta hapa Bongo,hasa Nguo,pia nguo za aina gani zinatoka sana hapa Bongo,na itanichukua muda gani kukaa china,na mzigo unachukua muda gani mpaka unafika Bongo?
 
Last edited by a moderator:

Okey...capital inategemea na mfuko wako lakin unaeza ukaanza na dollar3000 nakuendelea.. Aina za Nguo unaeza nunua underwares za kike na kiume mfano chupi..boxer..bra..vest..skintight nk coz Nguo hizi za wakubwa hazitoki sana watu wananua kwa kuangalia majina so kwa kuanza itakusumbua..mda wa kukaa inategemea na visa yako waweza kaa wiki hadi wiki mbili hapo unakua unahakikisha unatoa order na unasubir labda mzigo wako upakiliwe kwenye container...Mara nyingi mzigo inachukua siku 23 hado 30 days kwenye meli so itategemea unaship na company gan...na ikifika hapa inaeza ikachukua hata siku 5 kutolewa mzigo wako! Bandarin
 
Last edited by a moderator:
siku zote unaposafirisha mzigo, inategemea na wewe unataka huo mzigo usafirishwe kama loose cargo.. au full container...! ushuru wa kutoa nguo na cosmetic mara nyingi huaga mkubwa bandarini per CBM...kwahyo itategemea na agent gani utakayemtumia kutoa huo mzigo wako..kila lakheri!

umetusaidia wengi mkuu
 
Okey...capital inategemea na mfuko wako lakin unaeza ukaanza na dollar3000 nakuendelea.. Aina za Nguo unaeza nunua underwares za kike na kiume mfano chupi..boxer..bra..vest..skintight nk coz Nguo hizi za wakubwa hazitoki sana watu wananua kwa kuangalia majina so kwa kuanza itakusumbua..mda wa kukaa inategemea na visa yako waweza kaa wiki hadi wiki mbili hapo unakua unahakikisha unatoa order na unasubir labda mzigo wako upakiliwe kwenye container...Mara nyingi mzigo inachukua siku 23 hado 30 days kwenye meli so itategemea unaship na company gan...na ikifika hapa inaeza ikachukua hata siku 5 kutolewa mzigo wako! Bandarin
Hpana ni pesa za manunuzi tu bado gharama za usafiri na ushuru,au hiyo USD 3000 ina include kila kitu mpaka nautoa mzigo andarini?
 
Ndugu zangu nina swali lingine kama kuna mtu anaweza kutupatia msada
Je unapoleta mzigo unahitaji formalities zipi including certifications ,certificate of origine......
Je China ni rahisi kuzipa unaponunua mzigo.Maana tumeona makontena akichomwa moto kwa madai kwamba bidhaa zao ni chini ya viwango.Mweze ujuzi huu atusaidie kuhusu nini kinahitajika.Je certificate of import or import permit inahitajika?

Ukiwa una uwezo unaenda kwa suppler mkubwa au kiwandani mnakubaliana kua utahitaji CoC ambapo mawakala wake ni interteck, sgs na bureau ..... Lkn kama mzigo wako ni mdogo unaweza kuja nao kwenye ndege ambapo wewe unaruhusiwa kusafirisha 40kg bure na ukiwa na mzigo zaidi unalipia hata hivyo maelezo ni mengi lkn muhimu sana ni kua usiwaamini watu uwe mwangalifu sana ......
 
Hpana ni pesa za manunuzi tu bado gharama za usafiri na ushuru,au hiyo USD 3000 ina include kila kitu mpaka nautoa mzigo andarini?

Mkuu labda nijitokeze tena hapa...

Mara nyingi mtaji unategemea na malengo ya biashara yako yalivyo...

Je unataka ulete mzigo uuze kwa jumla au rejareja katika kibanda chako?

Kwa uelewa wangu 3000$ inatosha kufanya vyote kama tu biashara yako ni ya rejareja na pia ukichukulia kwamba vitu kama chupi, fulana za ndani n.k huwa ni rahisi kuvi-compress ndani ya CBM moja...

Lakini kama unataka kuingiza kontena zima lenye hizo mambo basi 3000$ ni pesa ndogo mno pengine itaishia kwenye kukodia kontena tu...(nimegusia hili kwa kuwa nimeona umetaja habari ya kutoa mzigo bandarini)
 
..... Lkn kama mzigo wako ni mdogo unaweza kuja nao kwenye ndege ambapo wewe unaruhusiwa kusafirisha 40kg bure na ukiwa na mzigo zaidi unalipia ......

Hii pia ni option nzuri kwa bidhaa ndogo ndogo isipokuwa hapo JKIA utapambana na wale jamaa wa custom ambao ni wasumbufu kama mende wa chooni...
 
Hpana ni pesa za manunuzi tu bado gharama za usafiri na ushuru,au hiyo USD 3000 ina include kila kitu mpaka nautoa mzigo andarini?

Hapa nimeongelea manunuz ya mzigo tu hiyo pesa yaweza kukutosha ila ushuru na usafirishaj sasa utalipa kutokana na mzigo wako mfano kama umechukua nafas ya CBM 5 kwenye container sisi tunachaji kila CBM moja kwa 400usd so 5 CBM inakua 2000usd tuna involve usafiri na ushuru...hope umenielewa
 
CBM 5 kwa $2000 bora jomba uchukue kontena nzima
 
Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488

Wabongo bwana..kila kitu kwao ni dili
 
Nimejifunza kitu. Sikuwahi fikiria watu hawana details kama hizi.

Ndiyo maana viwanda vingi tz wanafungua wachina, bcoz watz ama hawajui mashine zilizopo china au wameshajua ku import mzigo ndiyo deal kwa sababu hata wanunuzi wenyewe hawajui hali halisi ya huko china.

Kama upo kichwani kwangu hadi leo sielewi kwanini wabongo wenye mitaji kubwa wanakimbilia kununua final products huko CHINA badala ya kununua machines na kutengeneza wenyewe bidhaa.
 
Hapa nimeongelea manunuz ya mzigo tu hiyo pesa yaweza kukutosha ila ushuru na usafirishaj sasa utalipa kutokana na mzigo wako mfano kama umechukua nafas ya CBM 5 kwenye container sisi tunachaji kila CBM moja kwa 400usd so 5 CBM inakua 2000usd tuna involve usafiri na ushuru...hope umenielewa
charty na Watu8 nawaelewa sana,nauliza uliza hivi ili wakat ukifika nisipate shida nafikiria kuingia kwenye fursa hii ili kujikwamua na umaskini,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom