Gharama za kuweka LUKU meter msaada kwenye frame yangu

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Nimechukua frame sasa nataka niweke LUKU nijitegemee ,gharama zake zipoje? nataka kujua range ya bei niweke bajeti
Kwa wanaojua msaada
 
Kwana kwakua hiyo itakua meter ya pili kwenye hiyo nyumba lazima uandike barua ya kuomba meter ya pili yaani(meter separation )then unaipeleka kwenye kituo cha tanesco kilichopo karibu na ww then baada ya majibu ya barua utatakiwa kununua form ya maombi ya mwanzo ambayo cost yake ni 6,000/-alafu utatafuta contructor wa kuchora hilo kadi baada ya hapo utalirudisha tanesco watakupangia siku ya surveyer baada ya hapo utapigiwa simu kwa ajili ya kulipia hiyo meter ambayo cost yake ni sh.320,000/- utakua umemaliza na unasubir kufungiwa tu meter.
 
Kaka ushauri wako mzurii sana, ila inategemea ana haraka sana kupata iyo Luku au? Kama ana pressure afate ulivyo muelekeza ila kama ana hitaji kuipata faster awatafute vishoka wiki tu anapata Luku, akienda kisheria, kila siku ata kesha tanesco kuna wenzie kibao wapo foleni walisha jaza hzo form kitambo..
 
Kwana kwakua hiyo itakua meter ya pili kwenye hiyo nyumba lazima uandike barua ya kuomba meter ya pili yaani(meter separation )then unaipeleka kwenye kituo cha tanesco kilichopo karibu na ww then baada ya majibu ya barua utatakiwa kununua form ya maombi ya mwanzo ambayo cost yake ni 6,000/-alafu utatafuta contructor wa kuchora hilo kadi baada ya hapo utalirudisha tanesco watakupangia siku ya surveyer baada ya hapo utapigiwa simu kwa ajili ya kulipia hiyo meter ambayo cost yake ni sh.320,000/- utakua umemaliza na unasubir kufungiwa tu meter.

asante mkuu
 
Kibo ni tanesco ya mbezi ni pm namba yako ya simu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mbezi mkuu utasumbuka sana,nenda ukaripie magomeni kwani zote izo zipo kanda moja,ila inakubidi kufanyi wiring upo ktk iyo fremu
 
Back
Top Bottom