Gharama za kuvuta maji Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kuvuta maji Dar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzee2000, Oct 25, 2012.

 1. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 477
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nyumba ni kama mita 400 kutoka bomba kuu.Je gharama za kuvuta maji ni kwa kisio kiasi ghani.
  Nashukuru.
   
 2. C

  Chabo JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 725
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Hata mm nahitaji kujua jamani tusaidien
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,499
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Humu naona hakuna wazoefu, watembelee DAWASCO utapata taarifa zaidi.
   
 4. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,511
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Sio gharama kubwa. Anza kwa kuulizia urefu huo bomba na kuchimba kiasi gani. Kisha nenda dawasco. Mita nakumbuka sie mchina tulifungiwa bure tulilipa kuchimba na kununua bomba na kama elfu arobaini kupata account. Gharama ni kuleta maji, kuunga dawasco sio gharama kubwa.
   
Loading...