Gharama za kutoa gari bandarini

Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
600
390
Salaam wakuu?

Kuna gari nimeagiza litafika bandarini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu, nimeangalia gharama ya kodi (TRA) itakuwa kwenye 7.1M Tsh.

Sasa nataka kujua gharama zingine ni zipi na zinaweza kuwa Sh ngapi kwa makadrlio?Ukiacha ile gharama kumlipa agent. Gari ni Toyota Harrier 1998.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama zingine ni kama
1. Delivery Order ambayo wanalipia shipping line, gharama yake inategemea umenunua gari Company gani mfn Be Forward, SBT, Autocom n.k ila huwa kwa Harrier haiwezi kuzidi $70

2. Malipo ya wharfage, haya ni malipo ambayo utalipia TRA, kwa Harrier ya 1998 haiwezi kuzidi laki na nusu

3. Port charge , haya ni malipo ya bandari ambayo yanalipwa kwenda mamlaka ya Bandari - TPA.
note: malipo ya bandari pia sio fixed hivyo hayawezi kuzidi $70 kwa Harrier ila ni kwa siku saba za mwanzo tangu gari imeshushwa kwenye meli baada ya kufika, ila baada ya siku saba itaanza kuongezeka storage cost kwa kila siku ambayo gari itakaa bandarini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana ndugu.... Umenielekeza viziri.

Ndinga gani iyo mkali... Na imechukua muda gani hadi kufika... Nataka na mi nifanye mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom