Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,060
- 1,041
Mbona mnamind Mambo madogo madogo Sana...so Kuna asiekoseaAdio ni bei kubwa sana bro
[emoji28] upo wap mkuu... Alafu studio inqkutoa vip kam hujui kuimba au na ww unatak kuwa kam hamorap kiki kibaooNatumai mkoa poa.naomba kujulishwa kwa anaefahamu,Kama mtu anataka kutoa singo anatakiwa kuwa na pesa kiasi gani? Pili studio ipi hapa dar ambayo ni Bora kabisa ambayo inaweza kumtoa underground Kama atakuwa tayari kurekodi wimbo...Asante
Mbona mnamind Mambo madogo madogo Sana...so Kuna asiekoseaAdio ni bei kubwa sana bro
[emoji28] upo wap mkuu... Alafu studio inqkutoa vip kam hujui kuimba au na ww unatak kuwa kam hamorap kiki kibaoo
Hahaha...apana sio hamorapa tunataka kujichanga nawana tujue itatugalimu kiasi gani[emoji28] upo wap mkuu... Alafu studio inqkutoa vip kam hujui kuimba au na ww unatak kuwa kam hamorap kiki kibaoo
Kama una uwezo mzuri nitumie sms private, haiikisha umeambatanisha na kazi ambayo umewahi kuifanya kablaI
Mbona mnamind Mambo madogo madogo Sana...so Kuna asiekosea
Hahaha...apana sio hamorapa tunataka kujichanga nawana tujue itatugalimu kiasi gani
Sasa mkuu Kama mtu ndio anaanza inakuaje!! Maana hapa nikutaka kuanza kabisaa Haina kazi ya nyumaKama una uwezo mzuri nitumie sms private, haiikisha umeambatanisha na kazi ambayo umewahi kuifanya kabla
tecno H5Sasa mkuu Kama mtu ndio anaanza inakuaje!! Maana hapa nikutaka kuanza kabisaa Haina kazi ya nyuma
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi Nina shida na wewe najaribu kukupm naambiwa hadi nikufollow afu sijui jinsi ya kukufollowKama una uwezo mzuri nitumie sms private, haiikisha umeambatanisha na kazi ambayo umewahi kuifanya kabla
Unaimba au unachana babulai?Natumai mkoa poa.naomba kujulishwa kwa anaefahamu,Kama mtu anataka kutoa singo anatakiwa kuwa na pesa kiasi gani? Pili studio ipi hapa dar ambayo ni Bora kabisa ambayo inaweza kumtoa underground Kama atakuwa tayari kurekodi wimbo...Asante