boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Wakuu naombeni kujua gharama za kutengeneza application ya smart phone na taratibu zake hadi ipandishwe play store
Ngoja waje wataalamu mkuu,Wakuu naombeni kujua gharama za kutengeneza application ya smart phone na taratibu zake hadi ipandishwe play store
Nawasubiri chiefNgoja waje wataalamu mkuu,
Hapa hupati msaada mapema. Ungeenda jukwaa la Tech na Science wataalamu kule wamejaa.Wakuu naombeni kujua gharama za kutengeneza application ya smart phone na taratibu zake hadi ipandishwe play store
Sawa mkuu nitakutafutanitafute 0654506515
nikupe msaada
nafahamu kutengeneza
blog
website
application
n.k
Na ukishatengeneza unaipandisha google play store kabisa chiefinategemea na apps gani unaitaka
apps km dj mwanga naiunda kwa 80000
apps km daud tech naiunda kwa 20000
kuna apps nyingi na muonekano tofauti tofauti zote zina bei zake kutokana na ugumu wa kuiunda na vitu vya kununua
hiyo ya elfu themanini naiweka playstore then naiwekea na matangazo ya adsence ili yakulipeNa ukishatengeneza unaipandisha google play store kabisa chief
Naomba namba yako boss au nicheki 0752330437hiyo ya elfu themanini naiweka playstore then naiwekea na matangazo ya adsence ili yakulipe