Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
- Thread starter
- #21
Wewe ulishawahi kupigiwa plasta na fundi,na kama ulishawahi kupigiwa nipatie namba ya fundi aliyekupigia plasta kwenye nyumba yakoBei inategemeana na ukubwa wa vyumba,kwa uswahilini kwa chumba cha mita 3 kwa tatu kupiga plasta ndani tu mpaka floor ni sh 45,000 mpaka 60,000 kwa chumba
Sent using Jamii Forums mobile app