hongera kinyumba kizuri sanaaaa,,,,uwe tena na kigadeni,,,safi,,fundi anajua vipimo ,,kibaraza safii paaa safii,,,halijameza nyumba limeendana haswaaaMkuu, nimepaua mwezi uliopita na nyumba ni 13.8 x12 m. Gharama zilikua kama ifuatavyo
1. Bati (28G IT 5) idadi ya bati 50 na urefu ni 6.15m . Zilibakia bati 3 na vipande vichache
2. Mbao (Treated) 2x4 ya 20ft kwa 110 pcs na zilibaki 3, 2x2 ya 20ft kwa 70pcs zilibaki 8, 1x8/10 sikununua
3. Fundi ilikua 2.1m kwa kazi ya kupaua