Rayzuh Member Joined Sep 15, 2019 Posts 13 Reaction score 4 Feb 2, 2020 #1 Mpaka kuipata hyo CPA sijajua kwanini ina gharama kiasi kikubwa hivyo, na hata hawaogopi kututangazia hizo gharama. Watoto wa maskini wanaumia kutokufika malengo yao. Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka kuipata hyo CPA sijajua kwanini ina gharama kiasi kikubwa hivyo, na hata hawaogopi kututangazia hizo gharama. Watoto wa maskini wanaumia kutokufika malengo yao. Sent using Jamii Forums mobile app
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,378 Feb 3, 2020 #2 Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi
Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi
CHRISSIE255 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2020 Posts 221 Reaction score 180 Feb 5, 2020 #3 Machozi ya Simba said: Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi Click to expand... Naomba kuuliza samahan Hv ukiwa na diploma unaweza somea CPA? Na je kama unaweza n level ipi unaanzia Sent using Jamii Forums mobile app
Machozi ya Simba said: Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi Click to expand... Naomba kuuliza samahan Hv ukiwa na diploma unaweza somea CPA? Na je kama unaweza n level ipi unaanzia Sent using Jamii Forums mobile app
A teller JF-Expert Member Joined Feb 6, 2018 Posts 531 Reaction score 724 Feb 5, 2020 #4 Machozi ya Simba said: Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi Click to expand... weka gharama zote mkuu tuzijue
Machozi ya Simba said: Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi Click to expand... weka gharama zote mkuu tuzijue