Gharama za Kupanda mlima Kilimanjaro zipoje?

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,723
4,285
Habari wana jf,

Jamani wana jf naomba mnijuze gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa mtanzania ni kiasi gani , na kama kuna addition yoyote naomba kujua.

Niko mbioni kuchukua likizo sasa naona katika likizo angalau nifanye jambo hili lakupanda mlima Kilimanjaro, kwani nimekuwa nikitamani siku nyingi.
 
Wadau tumejipanga kazini kwetu vijana 10 tukapande Mlima Kilimanjaro kama njia ya kupongeza juhudi za Taasisi ya Mo Ibrahim kuwa na weledi wa kutokupendelea yeyote katika utoaji tuzo bila kujali Uswahiba.
NB: je tozo ni kiasi gani kwa wazawa?
 
Ni kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzania
Ni kiasi cha kusema mpo wangapi ndio mmpewe bei
Bei hulingana na idadi ya Watu .
Semeni je mpo wangapi niwape bei_?
Asanteni
 
Ni kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzania
Ni kiasi cha kusema mpo wangapi ndio mmpewe bei
Bei hulingana na idadi ya Watu .
Semeni je mpo wangapi niwape bei_?
Asanteni
Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu route
Siku 6 Marangu route,
Siku 6 Machame route ,
Siku 8Lemosho route
Marangu route mnalala kwenye nyumba na vitanda vimo.
Machame route mnalala kwenye Tents .
Haya sema ni njia IPI ?Mnataka?
 
unajidai kujua lakini mwisho wa siku umesahau kuweka bei.

swissme
 
Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu route
Siku 6 Marangu route,
Siku 6 Machame route ,
Siku 8Lemosho route
Marangu route mnalala kwenye nyumba na vitanda vimo.
Machame route mnalala kwenye Tents .
Haya sema ni njia IPI ?Mnataka?
Mkuu unakua kama mgeni JF, huku hatunyimani habari, tueleze utaratibu ulivyo na gharama kwa kila utaratibu ni ipi?
 
Habari wana jf,

Jamani wana jf naomba mnijuze gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa mtanzania ni kiasi gani , na kama kuna addition yoyote naomba kujua.

Niko mbioni kuchukua likizo sasa naona katika likizo angalau nifanye jambo hili lakupanda mlima Kilimanjaro, kwani nimekuwa nikitamani siku nyingi.

When? Kwa Mtanzania Ni cheap but be careful usije pelekwa na watu wasio competent maana wapo wengi, the easy way Ni kutafuta kampuni yenye wageni wazungu and join Ila walipa pesa za kitanzania, hapo kidogo patakuwa na quality assurance! Njia mi niliyoipenda Ni lemosho na Machame, nimeshaenda Mara 3
 
Bei ni elfu 20kwa mtanzania mmoja sawa .
ILA INAPUNGUA NA KUONGEZEKA KWA VIGEZO FLANI KAMA MNATAKA MNIONE
 
Huu mpango uliwahi kuwepo hapa!! kwa sasa uko chini ya Jamiiforums tusubiri wamalize mambo! then watatujuza.
 
Back
Top Bottom