Gharama za kununua simu Kenya

Gharama za kununua simu Kenya

Msolopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
461
Reaction score
212
Ndugu zangu kunajamaa kanambia kwamba simu kenya zinauzwa bei rahisi sana kuliko tz. Mfano hizi smart phone ndogo za sumsang anasema ni kama sh 4500 ya kenya. Is this really true? Jamaa ni mkazi wa mombasa
 
tuna kodi kubwa kuliko kenya ila ukienda maduka ya aggrey watu wanaouza simu bila risiti bei ni sawa tu
 
ni kweli. mfano hai ni simu za lumia. midcom kenya wanaziuza online bei kdg ifanane na ulaya
 
ni kweli kabisa mkuu mimi nakaa jirani na kenya huku mpakani sirari hivyo muda mwingi natembea ktk maduka yao.simu zina bei ya chini kuliko kwetu.mfano wafanyabiashara wengi wa tarime ; musoma nk wanachukua simu zao kenya na kutuuzia kwa bei juu
 
Mkuu ni pm namba yako.
 
Kenya vitu vingi bei chini, mbona wafanyabiashara wakubwa na wa kati wengi tu hapa Dara China yao ni Nairobi.!!
 
wanataka profit kubwa sana. tz ndio maana tunapenda simu z mtumba. shop bei mkasi sana

Wafanyabiashara wa Electronics bongo wanataka kupata faida kubwa sana,ukiangalia bei za online ni cheap sana
 
Kenya vitu vingi bei chini, mbona wafanyabiashara wakubwa na wa kati wengi tu hapa Dara China yao ni Nairobi.!!

ni vifaa vya electronic tu sababu wanasamehewa kodi ila vitu kama nguo na viatu wanakuja kufungashia tanzania kwao ni bei ghali
 
obviously kwa Kenya vitu ni bei rahisi compared na kwetu huku TZ kwa sababu ya uchumi kwao kuwa juu 1Kshs=19Tshs na pia kodi kwao hawakaamii kama huku kwetu
kwa mfano niliagiza HDD external 1TB Nairobi total cost ilikuwa Tshs 150000/- miaka miwili iliyo pita ambapo hapo TZ niliulizia ilikuwa 250000/-
 
ni vifaa vya electronic tu sababu wanasamehewa kodi ila vitu kama nguo na viatu wanakuja kufungashia tanzania kwao ni bei ghali
Mkuu labda Viatu, ila nguo ninauhakika wa 100% kuwa Kenya bei ndogo. Nawafahamu wafanyabiashara wengi tu wanaochukulia mzigo Kenya hasa nguo za kike maana mi mwenyewe ni mdau wa hio fani
 
Mkuu labda Viatu, ila nguo ninauhakika wa 100% kuwa Kenya bei ndogo. Nawafahamu wafanyabiashara wengi tu wanaochukulia mzigo Kenya hasa nguo za kike maana mi mwenyewe ni mdau wa hio fani

nguo za kiume jamaa wote kenya wanakuja kufungasha huku jeans, tshirt.

inategemea na aina ya nguo ila penetration ya wachina tanzania ni kubwa kuliko kenya
 
Back
Top Bottom